Nini tiba ya vinyama/ngozi zinazoota juu ya ngozi ....

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Kuna Vinyama vidogo laini huota sehemu mbalimbali za mwili ...tungozi tudogo tudogo na zingine huwa huwa Virefu kiasi...havileti maumivu bali huharibu mwonekano WA sura.....vidudu hivi dawa yake ni nn?
 
Kitunguu saumu paka mara mbili kwa siku
 
Back
Top Bottom