Nini tofauti baina ya Arts in Education na Arts with Education?

Nini tofauti baina ya Arts in Education na Arts with Education?

Tofauti ni kua BED IN ARTS,Katika masomo ya kufundishia unasomea somo moja,na unafundisha vyuo vya ualimu,na WITH EDUCATION unasomea masomo2 ya kufundishia,Facult of humanitie and social science.
 
BED IN ARTS-ina maana kua wewe ni mwalimu piwa,huwezi kufanyakazi nje ya ualimu,na ukichukua masters lazima iwe FOED,Na BAED WITH,Ni kinyume chake,
 
Back
Top Bottom