Nini tofauti baina ya Arts in Education na Arts with Education?

Tofauti ni kua BED IN ARTS,Katika masomo ya kufundishia unasomea somo moja,na unafundisha vyuo vya ualimu,na WITH EDUCATION unasomea masomo2 ya kufundishia,Facult of humanitie and social science.
 
BUMIJA hebu 2elezee kiundan coz m cjaelewa kiundan hapo tofaut hzo
 
BED IN ARTS-ina maana kua wewe ni mwalimu piwa,huwezi kufanyakazi nje ya ualimu,na ukichukua masters lazima iwe FOED,Na BAED WITH,Ni kinyume chake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…