ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Wazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile.
Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran imefanya majaribio ya kombora lake la kwanza la ICBM.
Mimi ninavyo jua ballistic missile ikisha kuwa na uwezo wa kusafiri zaidi ya km 1500 ina sifa za ICBM na Iran anayo mengi.