Navyojua ICBM ni ballistic missle yenye range kubwa zaidi ndo maana inaweza kukross hata bara mmojaWazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile.
Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran imefanya majaribio ya kombora lake la kwanza la ICBM.
Mimi ninavyo jua ballistic missile ikisha kuwa na uwezo wa kusafiri zaidi ya km 1500 ina sifa za ICBM na Iran anayo mengi.
Inamaa inakuwa na nguvu kubwa zaidi ya ballistic missile za kawaida sio?Balistic ni Powerd and guided missaile,sasa hio inaweza kuwa ni ya masafa mafupi au maref, ICBM maana yake hio powerd and guuded ina uwezo wa kuruka kutoka Bara moja hadi jingine mfani kutoka Mashariki ya kati hadi Ulaya au Africa.
Kule Ukrine Russian anayatumua sana Balistic Missa ila hajawahi tumia ICBM kule Ukrine
tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile.
Uzi ufungwe.ICBM maana yake hio powerd and guuded ina uwezo wa kuruka kutoka Bara moja hadi jingine mfani kutoka Mashariki ya kati hadi Ulaya au Africa.
Ngoja waje wajuziWazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile.
Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran imefanya majaribio ya kombora lake la kwanza la ICBM.
Mimi ninavyo jua ballistic missile ikisha kuwa na uwezo wa kusafiri zaidi ya km 1500 ina sifa za ICBM na Iran anayo mengi.
View attachment 3148271
Uyo mbona tangu maono yake kuusu vita y russia kule toka apo kajikubali kuwa alikuwa mtoto ajui kitu alivurugwa sasa ndio anajifunza upya aya mambo kwaiyo yupo shule usitegemee kumuona akiweka neno apa😂😂😂T14 Armata, tia neno hapa Kiongozi.
Huu mwandiko sio mchezo. Ngoja tuone.Uyo mbona tangu maono yake kuusu vita y russia kule toka apo kajikubali kuwa alikuwa mtoto ajui kitu alivurugwa sasa ndio anajifunza upya aya mambo kwaiyo yupo shule usitegemee kumuona akiweka neno apa😂😂😂
Tofautisha supersonic na hypersonic..March 25 haiwezi kuwa supersonic nilazima Iwe supersonic iliyoenda shuleICBM =inter-continental ballistic missile
BM = ballistic missile
Tofauti ni masafa ya kusafiri. Ukiongeza speed ikavuka mara 25 ya speed ya sauti ndio unapata supersonic , chini ya hapo unapata subsonic.
Mengine wameshasema, huwezi tuma hili kombora bila kuwa na uhakika litapiga shabaha with accuracy of 99.999%. Yani ukiweka passo yako sehemu iwe target hapo kigamboni, Mrusi kutoka Moscow zaidi ya km 10,000 akiizoom awipasue katikati, akikosa sana sana kombola litapiga tairi la kushoto au juu ya boneti. Kwa kifupi ukiinamsula nchale ukilala nchale na ukikimbia nchale.
Kwani utofauti hapo si “Inter continental”?Wazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile.
Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran imefanya majaribio ya kombora lake la kwanza la ICBM.
Mimi ninavyo jua ballistic missile ikisha kuwa na uwezo wa kusafiri zaidi ya km 1500 ina sifa za ICBM na Iran anayo mengi.
View attachment 3148271
Usiogope Dudus. muimu ujumbe ufike akuna zaid😂 yule dogo T ujamuona ilo ndio msingi yani kajijua kumbe mweupe kama mlivo wengi matamanio yenu ayawi!!!! IRAN IPO JUUU ya uwezo wenu.Huu mwandiko sio mchezo. Ngoja tuone.
Iran na kiduku kwenye masuala ya milipuko ni habari nyingine siku wakifaulu vizuri kwenye ndege utakua ni mziki wa Dunia nzima hakuna atakae leta ufalaKama kweli Iran imeweza kutengeneza hilo basi apewe maua yake.
Ndege ni too risk kwenye dunia ya sasa iliyojaa uchafu wa Ads Israel mwenyewe anashambulia kwa anga kwa vi nchi vilivyo uchi sana. kurusha ndege kwenye anga linalolindwa na kila takataka ni too risk Urusi mpaka leo bado hajatawala ipasavyo anga la Ukraine na huyo ni Ukraine Imagine urushe vindege vyako kwenda China, U.S, Russia,Iran lazima utakuwa umewasainisha hati ya kifo marubani zako ulio wa train kwa ghrama kubwa.Iran na kiduku kwenye masuala ya milipuko ni habari nyingine siku wakifaulu vizuri kwenye ndege utakua ni mziki wa Dunia nzima hakuna atakae leta ufala
ICBM ina arc yake ikifyatuliwa haipindipindi angani, inaenda nje ya anga la dunia kisha inaingia anga la dunia (re-entry). Uko nje ya anga la dunia sababu hakuna friction inaenda kwa kasi kubwa na inakuja nayo duniani.T14 Armata, tia neno hapa Kiongozi.
Ok Asante Kwa analysis nilikua nahofu Kama Iran amechelewa Sana kwenye ndegeNdege ni too risk kwenye dunia ya sasa iliyojaa uchafu wa Ads Israel mwenyewe anashambulia kwa anga kwa vi nchi vilivyo uchi sana. kurusha ndege kwenye anga linalolindwa na kila takataka ni too risk Urusi mpaka leo bado hajatawala ipasavyo anga la Ukraine na huyo ni Ukraine Imagine urushe vindege vyako kwenda China, U.S, Russia,Iran lazima utakuwa umewasainisha hati ya kifo marubani zako ulio wa train kwa ghrama kubwa.
Drones so far ni game changer na Iran wanajiza titi zaidi huko and so far gharama za drones zipo too low ukicompare na ndege kinacho hitajika ni advancement zaidi katika uwanja wa drones ili zileta maafa makubwa zaidi