Nini tofauti kati ya ballistic missile na ICBM?

ndege azina umuimu sana ktk vita mpya yakisasa vita inaenda kuwa watu nikama wanacheza draft lkn ndio unapigwa vibaya sana. Ndege zinamambo mengi mafuta pakupita kuonekana kushushwa rubani mfunzo vile kubwa,,, tofaut na missile vitu vinapenya au itunguliwe lkn akuna madhala makubwa,
 
Mnatuchanganya sana sisi tusio wataalam wa mambo haya
Sasa ndege za Israel ziliwezaje kuingia na kupiga maeneo kadhaa ndani ya Iran ikiwa nchi hii ni miongoni mwa zilizojuu kulinda anga zao kwa ADs?
 
Mnatuchanganya sana sisi tusio wataalam wa mambo haya
Sasa ndege za Israel ziliwezaje kuingia na kupiga maeneo kadhaa ndani ya Iran ikiwa nchi hii ni miongoni mwa zilizojuu kulinda anga zao kwa ADs?
Kuhusu ndege za Israel hazikuingia anga la Iran ziliruka na kupiga kupitia anga la nchi jirani ambayo ni Iraq.
Ni kama Urusi anavorusha makombora kutokea anga lake.
 
Uko Iran anga lao alipigiki adi akuna picha ata moja missile kutoka ktk ndege ilipiga seem zaid ni udaku na ,vile Iran kaaamua aitumie kama sababu ya kulalamika UN na kusema wajeda4 wamekufa kwaiyo anayo aki ya kulipiza. ndio tumesikia promis no 3 lkn akuna kilichopita picha zipo waziwazi kabisa. Anga la Iran ni salama. Watu awana wasiwasi,,,
 
Umechambua vyema ila hapa kwa iron dome tushushe
 
Mnatuchanganya sana sisi tusio wataalam wa mambo haya
Sasa ndege za Israel ziliwezaje kuingia na kupiga maeneo kadhaa ndani ya Iran ikiwa nchi hii ni miongoni mwa zilizojuu kulinda anga zao kwa ADs?
Ndege za israhell hazikukanyaga anga za Iran
 
Keep it 💯 up
 
Ballistic Missile ni sifa ya makombora yanayorushwa kwa mfumo wa Rocket, ni makombora yanayoweza kwenda umbali mrefu tofauti na makombora yanayorushwa kwa mfumo wa Cruise

Kwahiyo hata ICBM ni Ballistic missile inarushwa kwa mfumo huohuo wa rocket ila kinachoongezeka ni kombora linalosafiri umbali mrefu zaidi linaweza kuvuka hata bara moja kwenda bara lingine na ni kombora linaloweza kufungwa nuclear warhead
 
tanzania tunazo pale ngerengeree, tuko vizurii
 
tanzania tunazo pale ngerengeree, tuko vizurii
Ikiwa kweli zipo apo! ujue ww umetoa code ktk sheria y usalama. Ungeweza tu kusema tunazo lkn kutaja zilipo ujue majanga au mji na kweli zipo mji huo. Kama umedanganya safi upo vizuli.
 
Hakuna unalo jua mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…