Nini Tofauti kati ya Mazishi na Maziko??

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Naona haya maneno yanatumika ndivyo sivyo, wataalamu tujuzeni kinagaubaga........
 
Mi nadhani mazishi ni maandalizi (mpaka wakati wakufika makaburini) ya kumzika marehemu.
Maziko ni kitendo cha kuanza kuweka mwili makaburini.
mia tz1
 
Makes sense...
 
Mwali hii Avatar yako kama uko kwenye sanda tayari..afu nahisi u mwanaume????
poa tu, siwezi kukuziwia kuona au kuhisi hivo, nami niko huru kupendekeza jinsia niitakayo, na avatar niitakayo, sio?. lol
 
Sio kudhani kaka, ndio jibu lake. Nafarijika kuona kuna watu bado wanafahamu kiswahili kwa ufasaha wake, safi sana.
 
Oh no Mwali, nimechokoza tu!!!
poa tu, siwezi kukuziwia kuona au kuhisi hivo, nami niko huru kupendekeza jinsia niitakayo, na avatar niitakayo, sio?. lol
 
Mi nadhani mazishi ni maandalizi (mpaka wakati wakufika makaburini) ya kumzika marehemu.
Maziko ni kitendo cha kuanza kuweka mwili makaburini.
Malizia na ufafanuzi wa
Msiba
kilioni
Matanga

Na je mtu ana kufa au anafariki
 
Mwali hii Avatar yako kama uko kwenye sanda tayari..afu nahisi u mwanaume????
Duuuh mkuu mbona mwali ana sura bomba sana mwombe afungue uso kidogo,
Miii na mhusudu sana.
 
Malizia na ufafanuzi wa
Msiba
kilioni
Matanga

Na je mtu ana kufa au anafariki

Msiba ni kuelezea shuguli ya mfu.
Kilioni ni sehemu watu wanapo lia.
Matanga ni shuguli baada ya kutoka makaburini.
Kufa na kufariki naona ni maana moja.
 
ni jibu sahihi 100% funeral/burial
mi nadhani mazishi ni maandalizi (mpaka wakati wakufika makaburini) ya kumzika marehemu.
Maziko ni kitendo cha kuanza kuweka mwili makaburini.
 
Ni namna ya kujenga seentensi na utamu wa lugha.

"Nnakwenda mazikoni" makes more sense kuliko "nnakwenda mazishini".

Tulikuwa kwenye mazishi ya..." makes more sense kuliko "tulikuwa kwenye maziko ya..."

Utamu wa lugha.
 
nilijua lazima ufike hapa, habari yako lakini!
 
wewe unaesema yanatumika ndivyo sivyo ndio utujuze "kinagaubaga"
Majibu umeyapata kinagaubaga ....mada zingine ni chokozi kuturudisha kwenye mstari mkuu.........
 
Back
Top Bottom