Invarbrass
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 504
- 111
Mazishi ni mchakato mzima wa kuandaa na kumweka marehemu kaburini. Maziko ni sanda zinazotumika kumsitili marehemu kaburini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenenaMazishi ni mchakato mzima wa kuandaa na kumweka marehemu kaburini. Maziko ni sanda zinazotumika kumsitili marehemu kaburini.
Msiba ni kuelezea shuguli ya mfu.
Kilioni ni sehemu watu wanapo lia.
Matanga ni shuguli baada ya kutoka makaburini.
Kufa na kufariki naona ni maana moja.
kwa kidhunun sijanyaka, tupe tafsiri kwa kamusi ya kiswahili kwa kiswahili
Mi nadhani mazishi ni maandalizi (mpaka wakati wakufika makaburini) ya kumzika marehemu.
Maziko ni kitendo cha kuanza kuweka mwili makaburini.
pamoja sana tz1, kwa kuongezea kufa inafaa zaidi ikitumika kwa wanyamaMsiba ni kuelezea shuguli ya mfu.