The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ni kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa kujua hili.PIA KUWA NA UUME MDGO SIO TATZO HATA KDGO WALA SIO UGONJWA
Mmoja dikteta mchapakazi na wa pili dikteta Goigoi mvivuHuwa nasikia watu wakijifanya kummiss jiwe Dkt John Pombe Magufuli na kusahau kuwa wakati wake ulipita kitambo.
Kwa wanaomjua vizuri, hakuna haja ya kummiss kwa vile tunaye mheshimiwa rais daktari profesa SSH mrithi wake mpendwa na kipenzi cha wanyonge. Hivyo, badala ya kupoteza muda na Magufuli, tuendelee kumuombea mheshimiwa rais naye awe kama Magufuli.