Nini tofauti kati ya Society, NGO na Ushirika?

Nini tofauti kati ya Society, NGO na Ushirika?

Mwanafalsafa

Platinum Member
Joined
Jun 24, 2007
Posts
673
Reaction score
865
Habari wataalam,

Naomba kufahamishwa tofauti ya hizi taasisi:

1. Societies (vyama/jumuia vinavyosajiliwaga na wizara ya mambo ya ndani)
2. NGOs (taasisi zinazosajiliwaga na wizara ya ustawi wa jamii)
3. Ushirika (huu sijui unasajiliwaga wapi).

Halafu hapo kwenye Ushirika je kuna tofauti gani kati ya vyama kama KNCU na taasisi kama VICOBA na SACCOS? Je vyote hivi vinasimamiwa na sheria gani?
 
Back
Top Bottom