Nini tofauti kati ya supu na mchemsho?

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
233
Reaction score
298
Wakuu,

Hiki kitu kinanichanganya kwakweli na sijawahi kuelewa tofauti zake, maana nikiaambiwa kupika supu ama mchesho upishi wangi ni mmoja, lakini kuna sehemu supu na mchemsho ni vitu viwili tofauti!

Hizi picha nimetoa mtandaoni, moja ni supu nyingine ni mchemsho, lakini mimi sioni tofauti yoyote!


Sasa nataka nifahamu, kile ninachopika huwa ni supu ama mchemsho? Wajuvi karibuni.
 
Supu inachemshwa tu na maji, wakati mchemsho unaweza viungo nyanys, kitunguu, karoti hoho, viazi au ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…