Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni classmate wng BED Sc kk!AIST hta mm nilipata provisional admission nikakosa ufadhil tu c unajua majanga mjin hapa!
eti kati ya anaechukua Bachelor of Education in Arts na anayechukua Bachelor of Arts with Education, watakapoajiriwa nani atapokea mshahara mkubwa kuliko mwingine?
Unajua niliuliza vile bada ya member mmoja kusema kuwa inakuwa rahisi mtu wa BA.Ed kusoma masters ya kpzi tofauti na wa BED inakuwa ngumu kusoma kozi nyingine za Masters ndo maana nikauliza hiyo ndo tofauti?Ni moja ya tofauti. BED. i.e Bachelor of Education!! wakati hizo nyingine Ni Bachelor of Arts with/in Edu
Hapo hujaona tofauti tu?
kumbe wa Bed ana shida hata entrepreneurship hafundishwi wala DS hamna cha Computer Application wala Administration wala haandaliwi kuwa expert katka nyanja mbalimbali! du hii ni noma vilevile mtu wa BAED ni noma yaani ni mkali yaani anakuwa expert katika nyanja mbalimbali mpaka mtu hujui wapi hasa mtaalam lakini pia kufaulu ni kazi du walioandaa hiyo mitaala basi wamewaoveload kwanini usome vitu vingi sana ambavyo mwishowe kufaulu ni ngumu au ni baadhi ya vichwa tu ni ngumu kufaulu?B.A(Ed)i.e Bachelor of Arts with Education,means:
1.Unaandaliwa kuwa mtaalamu ktk elimu na field mbalimbali,mf:
-Entrepreneurship
-Administration
-Computer application
-Development perpectives.etc
2.Katika elimu,utakuwa mwl wa sekondari mwenye kufundisha masomo mawili.
3.Pia B.A(Ed),kulingana na course zake inakuandaa wewe kuwa expert ktk field mbalimbali na hivyo haikulazmishi kuwa mwalmu at all.
4.Kwa UDSM fani hii ipo ktk kitivo cha Sayansi ya jamii(Faculty of Arts&Social Science au Faculty of Humanities&Social Science-MUCE
5.Ni vigumu sana kuwa na G.P.A nzuri,kwani kuna Course nyingi.
WHILE,
BED(Arts)ie Bachelor of Education in Arts au Bachelor of Education means:
1.Wewe utakuwa mwalimu ktk maisha yako yote.
2.Katika elimu utafundisha somo moja tu hasa ktk vyuo vya ualimu,pia hutokea ukafundsha shule za sekondari.
3.Course utakazofundshwa hapa znakuandaa kuwa mwl na mlezi wa wanafunzi ktk maisha yako yote.
4.Kwa UDSM ie:MC,MUCE na DUCE,fani hizi zipo kitivo cha elimu(Faculty of Education)
5.Si vigumu sana kuwa na G.P.A nzuri kwani Course ni chache.
ASANTENI.
Unajua niliuliza vile bada ya member mmoja kusema kuwa inakuwa rahisi mtu wa BA.Ed kusoma masters ya kpzi tofauti na wa BED inakuwa ngumu kusoma kozi nyingine za Masters ndo maana nikauliza hiyo ndo tofauti?
Nijuavyo mi kidogo ni kuwa mtu wa BED core courses zinakuwa kwenye masomo ya ualimu na anakuwa na somo moja la kufundisha kwa level ya sekondary,lakini wa BAED/BSC (Ed) anasoma masomo mawili ya kufundishia sekondary na core courses zake zinakuwa kwenye masomo yale ya kufundishia.
Kuhusu masters ni kweli wa BAED/BSc(Ed) anakuwa na uwanja mkubwa wa kuchagua masomo yasiyo ya ualimu kulingana na masomo yake aliyochukua lakini hii haimaanishi kuwa mtu wa BED lazima asome ualimu tu.Kwa sababu pia Masters inategemea na course zako ulizosoma kwenye Bachelor degree,unaweza enda hata kozi nyingine.Kwa mfano kuna watu wanasoma masters ya arts Demography simply because walisoma Geography kwenye bachelor degree na pia kuna watu wanasoma rural development masters kwa sababu wakiwa undergraduate walisoma course za development studies.
kumbe wa Bed ana shida hata entrepreneurship hafundishwi wala DS hamna cha Computer Application wala Administration wala haandaliwi kuwa expert katka nyanja mbalimbali! du hii ni noma vilevile mtu wa BAED ni noma yaani ni mkali yaani anakuwa expert katika nyanja mbalimbali mpaka mtu hujui wapi hasa mtaalam lakini pia kufaulu ni kazi du walioandaa hiyo mitaala basi wamewaoveload kwanini usome vitu vingi sana ambavyo mwishowe kufaulu ni ngumu au ni baadhi ya vichwa tu ni ngumu kufaulu?
Naipenda hiyo BAED ila naomba kuuliza nikienda kuomba kazi nikaulizwa wewe expert wa nini? Nijibu kuwa ni expert wa nyanja mbalimbali au lah?
Good answer nadhani yule mtu niliyemquote kama yupo makini atakuwa amejua nini nimemaanisha.Kwa sababu jamaa alivokuwa ameandika alionesha kama vile watu wa BED hayo masomo hawasomi wakati nijuavyo mimi jamaa wanasoma.Ndo maana nikaamua nimquote vile nione kama atakuja kunisahihisha kwa bahati mbaya hajanisahihisha.But nipo with you katika jibu lako"entrepreneurship hafundishwi wala DS hamna cha Computer Application wala Administration wala haandaliwi kuwa expert katka nyanja mbalimbali"
hayo maelezo c sahihi, hzo ulizotaja hapo zinasomwa vzr tu tena ktk maudhui ya ualimu!
"Naipenda hiyo BAED ila naomba kuuliza nikienda kuomba kazi nikaulizwa wewe expert wa nini? Nijibu kuwa ni expert wa nyanja mbalimbali au lah?"
ukiulizwa jibu wewe ni mwalimu wa hayo masomo na sio mtaalam wa nyanja mblmbl kwa sababu unafundishwa koz chache za ualimu ili ukafundishe hayo masomo uliosomea vzr!
mwisho wa siku wote huwa wanakuja hapa jf kuulizia ajira za ualimu zinatoka lini hata kama wameandaliwa kufit nyanja mbalimbali,ila wote ujanja wao mkubwa huwa kwenye kufundisha.B.A(Ed)i.e Bachelor of Arts with Education,means:
1.Unaandaliwa kuwa mtaalamu ktk elimu na field mbalimbali,mf:
-Entrepreneurship
-Administration
-Computer application
-Development perpectives.etc
2.Katika elimu,utakuwa mwl wa sekondari mwenye kufundisha masomo mawili.
3.Pia B.A(Ed),kulingana na course zake inakuandaa wewe kuwa expert ktk field mbalimbali na hivyo haikulazmishi kuwa mwalmu at all.
4.Kwa UDSM fani hii ipo ktk kitivo cha Sayansi ya jamii(Faculty of Arts&Social Science au Faculty of Humanities&Social Science-MUCE
5.Ni vigumu sana kuwa na G.P.A nzuri,kwani kuna Course nyingi.
WHILE,
BED(Arts)ie Bachelor of Education in Arts au Bachelor of Education means:
1.Wewe utakuwa mwalimu ktk maisha yako yote.
2.Katika elimu utafundisha somo moja tu hasa ktk vyuo vya ualimu,pia hutokea ukafundsha shule za sekondari.
3.Course utakazofundshwa hapa znakuandaa kuwa mwl na mlezi wa wanafunzi ktk maisha yako yote.
4.Kwa UDSM ie:MC,MUCE na DUCE,fani hizi zipo kitivo cha elimu(Faculty of Education)
5.Si vigumu sana kuwa na G.P.A nzuri kwani Course ni chache.
ASANTENI.