Nisaidieni kujuwa tofauti ya ulaji wa mafuta wa engine za 3s na zile za Vvti? Mfano ulaji wa mafuta wa RAV4 yenye 3s na ile yenye engine ya vvti?
Mkuu, 3s ndio G kavU?Unachanganya madesa mkuu, VVT-i (Variable Valve Timing with intelligence) sio engine ila ni mfumo uliopo kwenye engine.
Ungesema engine 3s yenye VVT-i na ile isio na VVT-i ipi yala mafuta hapo ungemake sense.
Siri ya VVT-i ni moja "more power, less fuel consumption".
Kwahiyo gari zenye mfumo wa VVT-i hazili mafuta na zinakua na nguvu.
Sasa mimi na wewe nani anayajua magari dogo...na ww umechanganya madensa ha ha kwa hiyo VVTI na D4 ipi ina more power with less fuel consumption?? ungefanya kurudia pale uliposoma
Hapana chief ni engine tofauti. 1G ina characteristics zingine na 3s inazo zingine sema zote ni Toyota.Mkuu, 3s ndio G kavU?
sasa hapo unifafanulie nn...unavosema mi na ww nani anayajua magari madogo kwa hiyo ww bila kujua chchte kwangu ushajimilikisha kwmba we ndo unajua magari madogo ?? fresh basi mi najua magari makubwa ..then rudia kusoma nilichoandikaSasa mimi na wewe nani anayajua magari dogo...
Kama hujui kitu omba ufafanuliwe sio kuleta ujuaji kwenye vitu usivyojua.
sasa hapo unifafanulie nn...unavosema mi na ww nani anayajua magari madogo kwa hiyo ww bila kujua chchte kwangu ushajimilikisha kwmba we ndo unajua magari madogo ?? fresh basi mi najua magari makubwa ..then rudia kusoma nilichoandika
mimi na jua VVTI mfumo wake mkubwa unatumia umeme sana kuliko mafuta.hata gari zake zina pishana kidogo na gari zengiene kwa bei kutokana zina saidia katika kuto kunywa mafuta kwa ajili mfumo mkubwa ni umemeNisaidieni kujuwa tofauti ya ulaji wa mafuta wa engine za 3s na zile za Vvti? Mfano ulaji wa mafuta wa RAV4 yenye 3s na ile yenye engine ya vvti?
Kwani kua na akili ni kitu cha ajabu, akili hata Fisi anazo na bado anakula mizoga.Konsciouz jamaa hujui kitu unajidai unajua but ni hivi nachojua naona hujui afu unanielezea vitu ambavyo ni marudio kwangu ndo mana nina akil sikuandika D4D niliandika D4 tupu ha ha nshakuona akil huna
Hapana ndugu. 3S engine ina 4 cylinder 1998cc. Ipo aana kwenye Noah old model, Rav 4, Liteace na Townace pick up. 1G ni 6 cylinder 1998cc. Zipo kwenye mark IIMkuu, 3s ndio G kavU?