Nini Tofauti ya fuel consumption between 3s Vs vvti engines

mpungara

Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
75
Reaction score
17
Nisaidieni kujuwa tofauti ya ulaji wa mafuta wa engine za 3s na zile za Vvti? Mfano ulaji wa mafuta wa RAV4 yenye 3s na ile yenye engine ya vvti?
 
Naamini na naelewa rav4 vvti inakula mafuta vizuri zaidi. Namaanisha ile ya cc 1800. 3s nadhani ni 2.0
 
Unachanganya madesa mkuu, VVT-i (Variable Valve Timing with intelligence) sio engine ila ni mfumo uliopo kwenye engine.
Ungesema engine 3s yenye VVT-i na ile isio na VVT-i ipi yala mafuta hapo ungemake sense.
Siri ya VVT-i ni moja "more power, less fuel consumption".
Kwahiyo gari zenye mfumo wa VVT-i hazili mafuta na zinakua na nguvu.
 
na ww umechanganya madensa ha ha kwa hiyo VVTI na D4 ipi ina more power with less fuel consumption?? ungefanya kurudia pale uliposoma
 
Mkuu, 3s ndio G kavU?
 
na ww umechanganya madensa ha ha kwa hiyo VVTI na D4 ipi ina more power with less fuel consumption?? ungefanya kurudia pale uliposoma
Sasa mimi na wewe nani anayajua magari dogo...
Kama hujui kitu omba ufafanuliwe sio kuleta ujuaji kwenye vitu usivyojua.
 
sasa hapo unifafanulie nn...unavosema mi na ww nani anayajua magari madogo kwa hiyo ww bila kujua chchte kwangu ushajimilikisha kwmba we ndo unajua magari madogo ?? fresh basi mi najua magari makubwa ..then rudia kusoma nilichoandika
 
Nimekuambia kati ya mimi na wewe dogo, nani anayajua magari...!?!?
Sina haja ya kurudia ulicho andika awali.... Maana mimi nilizungumzia mfumo wa VVT-i wewe ukanza kuongelea mfumo wa D4-D kitu ambacho hakuna mtu aliyezungumzia kwenye uzi huu zaidi yako.
Kwa kukusaidia tu mfumo wa D4-D upo kwenye injini za diesel. Direct injection hii, umeenda nje ya mada kama unataka VVT-i vs D4-D haina shida anzisha uzi kisha tutachangia maoni yetu....
Kwahiyo nilicho kizungumzia mimi nilikua sahihi tatizo wewe ulikuja na mihemko yako na kujifanya mjuaji kuliko wajuaji wenyewe.
sasa hapo unifafanulie nn...unavosema mi na ww nani anayajua magari madogo kwa hiyo ww bila kujua chchte kwangu ushajimilikisha kwmba we ndo unajua magari madogo ?? fresh basi mi najua magari makubwa ..then rudia kusoma nilichoandika
 
Nisaidieni kujuwa tofauti ya ulaji wa mafuta wa engine za 3s na zile za Vvti? Mfano ulaji wa mafuta wa RAV4 yenye 3s na ile yenye engine ya vvti?
mimi na jua VVTI mfumo wake mkubwa unatumia umeme sana kuliko mafuta.hata gari zake zina pishana kidogo na gari zengiene kwa bei kutokana zina saidia katika kuto kunywa mafuta kwa ajili mfumo mkubwa ni umeme
 
Konsciouz jamaa hujui kitu unajidai unajua but ni hivi nachojua naona hujui afu unanielezea vitu ambavyo ni marudio kwangu ndo mana nina akil sikuandika D4D niliandika D4 tupu ha ha nshakuona akil huna
 
Kwani kua na akili ni kitu cha ajabu, akili hata Fisi anazo na bado anakula mizoga.
 
nahc nyie ndo sa babu watu wengi hawaanzishi thread humu MMU kila saa new thread humu kuna wajuaji wasiojua unatoa elimu ya uongo but then unakuwa mbishi baki na ujinga wako
 
Back
Top Bottom