mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,018
- 3,009
Bila picha itakuwa Kam chaiWa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre.
Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa 500,000. Niliipenda ilivyo.
Na kuna wajinga wanakopa unakuta kianzio laki 3Hao waturuki siku moja wamekuja home na hotpot za 250000 wao wanakopesha Laki 550000 kweli jamani🤔🤔🤔🤔🤔
Tafsiri ya Home theatre au Sound bar ipo katika maana ya moja kwa ya hayo maneno...
Home theatre: Huu ni mkusanyiko wa spika uliotengenezwa ili zipangiliwe katika mtindo unaomithilika na ule unaopatikana kwenye kumbi za kuonesha sinema ili kutengeneza sound effect sawa sawa na uhalisia wa milio ya sauti...
Kama unatazama movie na sauti ilipaswa uisikie upande wa kushoto, basi utaisikia upande huo hivyo hivyo na pande nyingine na effects nyingine..sound bar ikoje mkuu
Asante na Sound Bar ipoje?Tafsiri ya Home theatre au Sound bar ipo katika maana ya moja kwa ya hayo maneno...
Home theatre: Huu ni mkusanyiko wa spika uliotengenezwa ili zipangiliwe katika mtindo unaomithilika na ule unaopatikana kwenye kumbi za kuonesha sinema ili kutengeneza sound effect sawa sawa na uhalisia wa milio ya sauti...
Kama unatazama movie na sauti ilipaswa uisikie upande wa kushoto, basi utaisikia upande huo hivyo hivyo na pande nyingine na effects nyingine...
Asante na Sound Bar ipoje?
Home thearte sio kwa ajili ya mziki.Home theatre mziki wake ni mzuri
Kwa ajili ya nini?Home thearte sio kwa ajili ya mziki.
Hao wanawapiga sana ila kwa sababu mnawakopa mnaona poa.Wa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre.
Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa 500,000. Niliipenda ilivyo.
Mkuu hii naipata wapi na mimi..
Hizi bado zinauzwa wahuni sio watu aisee daah yaani matoleo mapya ya sound system wao wapo mbali nayo..Mbona sio sound bar hii
Hii ni HI-FI SOUND SYSTEM
Unaagiza NjeMkuu hii naipata wapi na mimi..