Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazihusiani na kesi za mauaji /murder caseNimekuwa nikisikia kuhusu kesi za jinai, namba mnieleze jinai ni nini? Nini tofauti ya kesi ya jinai na kesi zinezo.
Wala madai[emoji1]Hazihusiani na kesi za mauaji /murder case
Sahihi kabisaWala madai[emoji1]
If you can't explain it in a simple way, it means you don't understand it! Mkuu umejibu juujuu sana. Sometimes ni vizuri kukaa pembeni na kusubiri waje wajuzi wadadavue.Hazihusiani na kesi za mauaji /murder case
Umemaliza Kila kitu Mkuu. Watu wengi hudhani mauaji ndo Jinai pekee kumbe hata kutukana ni jinai.Kesi za jinai zinahuisha mashtaka ya makosa yenye adhabu ya kifungo jela, fine au vyote kwa pamoja.
Kwa Tanzania, makosa ya jinai ni matendo maovu yaliyotendwa dhidi ya binadamu, mali, na serikali.
Kila nchi ina mfumo wake wa makosa ya jinai. Jinai hutofautiana kati ya nchi na nchi.
Mfano, biashara ya mirungi ni jinai Tanzania ila ni halali Kenya.
Facebook ni jinai China ila ni halali Tanzania.
England mtu anaruhusiwa kisheria kujiua iwapo anajihisi kuteseka na ugonjwa ila Tanzania ni jinai.
Kumiliki mali binafsi ni jinai katika nchi za kijamaa ila ni halali katika nchi za kibepari.
Ni kweli. Kutukana kunautweza utu. Kuutweza utu ni jambo hatari kwa Taifa kwa hiyo nchi nyingi zimeona mtukanaji atengwe kwa kufungwa jelaUmemaliza Kila kitu Mkuu. Watu wengi hudhani mauaji ndo Jinai pekee kumbe hata kutukana ni jinai.
Na Mimi ngoja nipate somoNimekuwa nikisikia kuhusu kesi za jinai, namba mnieleze jinai ni nini? Nini tofauti ya kesi ya jinai na kesi zinezo.
Mkuu hapa umechanganya kidogoHazihusiani na kesi za mauaji /murder case
Asante sana kwa ufafanuzi mkuu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu hapa umechanganya kidogo
1.public law hizi ni sheria zinazo kuwa regulated na serikali hivyo jinai zote ikiwepo murder case ni jinai so state ndio analalamika
2.private law hizi ni sheria zinazo simamia mambo binafsi baina ya mtu na mtu ie mwenyewe nyumba na mpangaji,etal
So hapa hata kushitakiana ni baina ya nyie wenyewe ila shauri lazima liende competent authority ie abitral board au mahakama
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Case ya jinai (criminal case (offense)....dhidi ya case ya madai (Kuna civil case,tort related case ambapo nazo huwa sehemu ya Civili(madai) case.....Nimekuwa nikisikia kuhusu kesi za jinai, namba mnieleze jinai ni nini? Nini tofauti ya kesi ya jinai na kesi zinezo.
Nimekuwa nikisikia kuhusu kesi za jinai, namba mnieleze jinai ni nini? Nini tofauti ya kesi ya jinai na kesi zinezo.