tofauti ni ndogo kuteremka ni kwa kasi kuliko kushuka-na ivo ivo kuteremka ina asilia ya kitu kilicho juu sanaaa kuliko kushuka,kwa mfano mlima,ila kushuka ina ashiria sehmu ndogo
Tofauti ya neno "shusha" na teremsha
Nakumbuka haya maneno tuliwahi kuyajadili humu December 2014, kama sijapoteza kumbukumbu.
Ebu pitia hiyo link hapo juu