Nini tofauti ya kushuka na kuteremka?

Nini tofauti ya kushuka na kuteremka?

tofauti ni ndogo kuteremka ni kwa kasi kuliko kushuka-na ivo ivo kuteremka ina asilia ya kitu kilicho juu sanaaa kuliko kushuka,kwa mfano mlima,ila kushuka ina ashiria sehmu ndogo
 
Moja ni kudondoka na nyingine ni kuserereka, ni ndugu na kudondoka.

Daah...kiswahili ni tajiri wa maneno
 
Back
Top Bottom