Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Kwa sababu chimbuko lake ni wilaya ya Mwanza.Kwa nini lisiitwe jiji la Nyamagana tu, hii inachanganya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu chimbuko lake ni wilaya ya Mwanza.Kwa nini lisiitwe jiji la Nyamagana tu, hii inachanganya.
Mji wa Mwanza haujawahi kuwa na Manispaa ya Nyamagana. Kulikuwa na Halmashauri ya manispaa ya Mwanza ambayo baadaye ilipandishwa hadhi na kuwa Halmashauri ya jiji la Mwanza baada ya mji wa Mwanza kuwa jiji. Mji huu baadaye ulikuja kugawanywa na kuwa na wilaya mbili - Nyamagana na Ilemela.Baadaye Halmashauri ya manispaa ya Ilemela ilianzishwa kuhudumia wilaya ya Ilemela ndani ya jiji la Mwanza. Halmashauri ya jiji la Mwanza ilibaki pale pale na kwa jina hilo hilo isipokuwa kiutawala ilibakiza eneo la wilaya ya Nyamagana baada ya wilaya ya Ilemela kuwa na halmashauri yake ya manispaa. Na muda si mrefu kama ambavyo rais ameahidi, wilaya ya tatu itaanzishwa ndani ya jiji la Mwanza eneo la Igoma ambayo nayo itakuwa na halmashauri ya manispaa.Hakuna Manispaa ya Nyamagana bali kuna Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza lenye mipaka ya iliyokuwa Manispaa ya Nyamagana ambayo ilifutwa.
Duh! Asante sana,nimeelewa leo aiseeHapa tunashindwa kuelewa, kwa mfano Mwanza mjini (kati) kuna wilaya mbili ambazo ni Nyamagana na Ilemela.
Ilemela imepewa hadhi ya kuwa manispaa ya Ilemela, lakini hakuna Manispaa ya Nyamagana badala yake Nyamagana imebeba hadhi ya Jiji la Mwanza.
Katika matukio yote ukisikia wanaongea jiji la Mwanza maana yake wanaongelea wilaya ya Nyamagana na sio mkoa wote.
Nahodha huwa hapendi kubaki na dukuduku yeye huweka mambo hadharani.Huwa tunasema mwenye macho haambiwi tazama, nahodha kasema ya moyoni jinsi alivyowavusha.
Ule haukuwa uchaguzi, ilikuwa ni tamthilia ya uchaguzi