Wazo ni jambo unalolifikiria/ulilofikiria na hakuna uhitaji wa kulitimiza.
Lengo ni wazo lilikomaa na lenye uhitaji wa kutimizwa/kutekelezwa inapobidi au mda uliopangwa utakapowadia.
Huo ndio uelewa wangu mkuu, japo ni dhahiri kwenye matumizi yetu ya lugha ya kila siku tumekua tukichanganya haya maneno mawili.