Nini tofauti ya neno "wazo" na "lengo"?

Nini tofauti ya neno "wazo" na "lengo"?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Habarini wana JF,

Naomba kuuliza kunatofauti gani kati ya maneno haya wawili, yaani "wazo" na "lengo".
 
LENGO LINAKUWA NA MUDA MAALUMU WAZO MUDA MWINGINE HALINA MUDA MAALUMU
 
Wazo ni jambo unalolifikiria/ulilofikiria na hakuna uhitaji wa kulitimiza.

Lengo ni wazo lilikomaa na lenye uhitaji wa kutimizwa/kutekelezwa inapobidi au mda uliopangwa utakapowadia.

Huo ndio uelewa wangu mkuu, japo ni dhahiri kwenye matumizi yetu ya lugha ya kila siku tumekua tukichanganya haya maneno mawili.
 
Back
Top Bottom