Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
Asante sana kaka kwa elimu yako,VP ushawahi kupitia hukoJet fighter zote kuanzia first generation mpaka third generation zilitengenezwa kwa mawazo ya vita vya kwanza na pili vya dunia ,Korean , vietnam lakini kuanzia fourth generation fighter zimekuwa ni transition kutoka kwenye philosophy ya World Wars na Korea, mpaka kwenye visual-range combat ambapo vitu vyote kuanzia guns, to modern air combat involving all-weather precision engagements beginning BVR matumizi radar, missiles na targeting computers vyote anafanya mtu mmoja ambae ni pilot na vyote vimewekwa kwenye cockpits
Yule anayekaa nyuma ya pilot yani backseat crew member anaweza kuwa ni Radar Intercept Officer (US Navy), Navigator ,Weapon Systems Officer (USAF, IDF), au Flight instructor kumbuka running cost ya ndege na mafunzo ya ndege za kivita ni gharama sana sasa unaweza jiuliza kwa nini tutumie watu wawili kwenye ndege moja wakati technologia inaturuhusu kuwa na mtu mmoja ambae ni pilot na akaweza kufanya mambo yote tena kwa weredi mkubwa na yule mwingine tukamtumia kama pilot kwenye ndege nyingine? hapo ndipo concept nzima ya kuamua ndege za kisasa kuwa ni single seat tofauti na zile za zamani
Ndege zote za third generation ambazo ni F-4 Phantom, F-111 Aardvark, A-6 Intruder, the F-14 Tomcat, na version zote za B na D za F-15 Eagle, F-16 Falcon na F-18 Hornet.zimekuwa zikihudumu kwa ndani ya majeshi na zimekuwa ni chaguo kubwa hasa kwa mashambulizi ya chini yani ground attack pia cost zake si kubwa sana kulinganisha na hizi fourth generation kama F-22 and F-23, F-35 na F-22B japo hii ni two-seat F-22B hii ilitengenezwa kama trainer or preproduction evaluation model midege hii pamoja na kuuzwa fedha nying pia ni gharama sana
Mfano project cost pekee ya F 35 ni zaid ya 1.508 inakweda kwenye 2 Trillion usd wakati ndege moja ni 98 - 104 milion usd mpaka inafika nchini kwako bahati mbaya ya hii midege ya 5 generation kadri linavyokuwa kwenye OPS ndo gharama zinaongezeka na wataalamu wanasema gharama ya kuirun F- 35 moja kuanzia OPS na maintenace services kwa miaka 5 ni kati ya 12 -15 milion usd na inatakiwa angalau kwa wiki iwe angani japo masaa 3 mara mbili kwa wiki huku kwa saa moja F 35 Ikiwa angani gharama yake ni $42,200 Ops cost sasa piga masaa 6 kwa wiki wanayosema itakuwa ni $ 126,600 kwa wiki na hii ni gharama ya ndege moja tu so ukiangalia gharama ya hii midege japo inatechnologia kubwa na ya kisasa lakini bado ndege za third generation ndio best option ya majeshi mengi ikiwamo US na Israel
nchi maskini hatuwezi kabisa kumudu hii midudeJet fighter zote kuanzia first generation mpaka third generation zilitengenezwa kwa mawazo ya vita vya kwanza na pili vya dunia ,Korean , vietnam lakini kuanzia fourth generation fighter zimekuwa ni transition kutoka kwenye philosophy ya World Wars na Korea, mpaka kwenye visual-range combat ambapo vitu vyote kuanzia guns, to modern air combat involving all-weather precision engagements beginning BVR matumizi radar, missiles na targeting computers vyote anafanya mtu mmoja ambae ni pilot na vyote vimewekwa kwenye cockpits
Yule anayekaa nyuma ya pilot yani backseat crew member anaweza kuwa ni Radar Intercept Officer (US Navy), Navigator ,Weapon Systems Officer (USAF, IDF), au Flight instructor kumbuka running cost ya ndege na mafunzo ya ndege za kivita ni gharama sana sasa unaweza jiuliza kwa nini tutumie watu wawili kwenye ndege moja wakati technologia inaturuhusu kuwa na mtu mmoja ambae ni pilot na akaweza kufanya mambo yote tena kwa weredi mkubwa na yule mwingine tukamtumia kama pilot kwenye ndege nyingine? hapo ndipo concept nzima ya kuamua ndege za kisasa kuwa ni single seat tofauti na zile za zamani
Ndege zote za third generation ambazo ni F-4 Phantom, F-111 Aardvark, A-6 Intruder, the F-14 Tomcat, na version zote za B na D za F-15 Eagle, F-16 Falcon na F-18 Hornet.zimekuwa zikihudumu kwa ndani ya majeshi na zimekuwa ni chaguo kubwa hasa kwa mashambulizi ya chini yani ground attack pia cost zake si kubwa sana kulinganisha na hizi fourth generation kama F-22 and F-23, F-35 na F-22B japo hii ni two-seat F-22B hii ilitengenezwa kama trainer or preproduction evaluation model midege hii pamoja na kuuzwa fedha nying pia ni gharama sana
Mfano project cost pekee ya F 35 ni zaid ya 1.508 inakweda kwenye 2 Trillion usd wakati ndege moja ni 98 - 104 milion usd mpaka inafika nchini kwako bahati mbaya ya hii midege hii kadri linavyokuwa kwenye OPS ndo gharama zinaongezeka na wataalamu wanasema gharama ya kuirun F- 35 moja kuanzia OPS na maintenace services kwa miaka 5 ni kati ya 12 -15 milion usd na inatakiwa angalau kwa wiki iwe angani japo masaa 3 mara mbili kwa wiki huku kwa saa moja F 35 Ikiwa angani gharama yake ni $42,200 Ops cost sasa piga masaa 6 kwa wiki wanayosema itakuwa ni $ 126,600 kwa wiki na hii ni gharama ya ndege moja tu so ukiangalia gharama ya hii midege japo inatechnologia kubwa na ya kisasa lakini bado ndege za third generation ndio best option ya majeshi mengi ikiwamo US na Israel
Fighter jets zinakuwa na pilot tuHeko kwenu wadau wa ulingo huu mwanana kabisa kwa ajili ya kujuzana mambo kadha wa kadha.
Hivi karibuni nimesoma mahali kuwa Navigator wa ile ndege ya Israel iitwayo F-16 iliyotunguliwa na Jeshi la Syria amepona majeraha na kurudi tena angani lakini wakati huohuo taarifa hiyo ikasema kuwa Pilot wa ile F-16 hajapona vizuri kiasi cha kurudi angani.
Swali langu ni kuwa, ninaomba kujuzwa tofauti ya Navigator na Pilot katika ndege za kijeshi.
Nawasilisha wakuu.
Huyi "pirot" labda anaendesha ungo wa bibi yako wa nyegezi,pilot ndo huongoza ndegeKwa tafsiri nyepesi: Pirot ni muendesha ndege ila Nagivator ni muongozaji kwa kutumia ramani.
I stand to be corrected.
Ubarikiwe sana mkuu kwa ustaarabu wako uliotukuka.Huyi "pirot" labda anaendesha ungo wa bibi yako wa nyegezi,pilot ndo huongoza ndege
Heko kwenu wadau wa ulingo huu mwanana kabisa kwa ajili ya kujuzana mambo kadha wa kadha.
Hivi karibuni nimesoma mahali kuwa Navigator wa ile ndege ya Israel iitwayo F-16 iliyotunguliwa na Jeshi la Syria amepona majeraha na kurudi tena angani lakini wakati huohuo taarifa hiyo ikasema kuwa Pilot wa ile F-16 hajapona vizuri kiasi cha kurudi angani.
Swali langu ni kuwa, ninaomba kujuzwa tofauti ya Navigator na Pilot katika ndege za kijeshi.
Nawasilisha wakuu.
Jaribu kuwa na lugha za staha, maneno ya kihuni kapeleke chit chat au MMUHuyi "pirot" labda anaendesha ungo wa bibi yako wa nyegezi,pilot ndo huongoza ndege
Mkuu, Uganda wana sukhoi su_30 sitaaa.nchi maskini hatuwezi kabisa kumudu hii midude
Kwahiyo uganda wametuzidi? Na hapa east africa yupi mwenye ndege boraMkuu, Uganda wana sukhoi su_30 sitaaa.
Kwa hizo sukhoi zake bishaka sio East Afrika tu bali mpaka Central na West Afrika hawana hizo Sukhoi.Kwahiyo uganda wametuzidi? Na hapa east africa yupi mwenye ndege bora
Basi mukulu kwa Sifa ataenda kununua eurofighter thyphoon nane[emoji123] [emoji123] [emoji123]Kwa hizo sukhoi zake bishaka sio East Afrika tu bali mpaka Central na West Afrika hawana hizo Sukhoi.
Duuuu...! Mkuu utakula ban. Halafu mbona unawalenga wasukuma?Huyi "pirot" labda anaendesha ungo wa bibi yako wa nyegezi,pilot ndo huongoza ndege