Nini tofauti ya Pilot na Navigator kwenye Ndege za kijeshi?

Kwa tafsiri nyepesi: Pirot ni muendesha ndege ila Nagivator ni muongozaji kwa kutumia ramani.
I stand to be corrected.
Upo sahihi lakini ulivyochanganya majina nimeishia kucheka!..
- Pirot(kasuku) = Pilot (rubani)
- Nagivator 😕 = Navigator(Muongozaji)😉

Mbushuu!!![emoji23]
 
Always navigator receive order from the pilot
 
Jet fighter zote kuanzia first generation mpaka third generation zilitengenezwa kwa mawazo ya vita vya kwanza na pili vya dunia ,Korean , vietnam lakini kuanzia fourth generation fighter zimekuwa ni transition kutoka kwenye philosophy ya World Wars na Korea, mpaka kwenye visual-range combat ambapo vitu vyote kuanzia guns, to modern air combat involving all-weather precision engagements beginning BVR matumizi radar, missiles na targeting computers vyote anafanya mtu mmoja ambae ni pilot na vyote vimewekwa kwenye cockpits

Yule anayekaa nyuma ya pilot yani backseat crew member anaweza kuwa ni Radar Intercept Officer (US Navy), Navigator ,Weapon Systems Officer (USAF, IDF), au Flight instructor kumbuka running cost ya ndege na mafunzo ya ndege za kivita ni gharama sana sasa unaweza jiuliza kwa nini tutumie watu wawili kwenye ndege moja wakati technologia inaturuhusu kuwa na mtu mmoja ambae ni pilot na akaweza kufanya mambo yote tena kwa weredi mkubwa na yule mwingine tukamtumia kama pilot kwenye ndege nyingine? hapo ndipo concept nzima ya kuamua ndege za kisasa kuwa ni single seat tofauti na zile za zamani

Ndege zote za third generation ambazo ni F-4 Phantom, F-111 Aardvark, A-6 Intruder, the F-14 Tomcat, na version zote za B na D za F-15 Eagle, F-16 Falcon na F-18 Hornet.zimekuwa zikihudumu kwa ndani ya majeshi na zimekuwa ni chaguo kubwa hasa kwa mashambulizi ya chini yani ground attack pia cost zake si kubwa sana kulinganisha na hizi fourth generation kama F-22 and F-23, F-35 na F-22B japo hii ni two-seat F-22B hii ilitengenezwa kama trainer or preproduction evaluation model midege hii pamoja na kuuzwa fedha nying pia ni gharama sana

Mfano project cost pekee ya F 35 ni zaid ya 1.508 inakweda kwenye 2 Trillion usd wakati ndege moja ni 98 - 104 milion usd mpaka inafika nchini kwako bahati mbaya ya hii midege hii kadri linavyokuwa kwenye OPS ndo gharama zinaongezeka na wataalamu wanasema gharama ya kuirun F- 35 moja kuanzia OPS na maintenace services kwa miaka 5 ni kati ya 12 -15 milion usd na inatakiwa angalau kwa wiki iwe angani japo masaa 3 mara mbili kwa wiki huku kwa saa moja F 35 Ikiwa angani gharama yake ni $42,200 Ops cost sasa piga masaa 6 kwa wiki wanayosema itakuwa ni $ 126,600 kwa wiki na hii ni gharama ya ndege moja tu so ukiangalia gharama ya hii midege japo inatechnologia kubwa na ya kisasa lakini bado ndege za third generation ndio best option ya majeshi mengi ikiwamo US na Israel
F22 F 23 ni fifth generation
 
na zile za kwetu zinaitwaje??ubora wake je?
 
Hiii Mada atafutwe veteran fighter jet pilot Capt Andrew Nyerere ndio anajua kuzichambua hizi masuala za jet fighters
 
Upo sahihi lakini ulivyochanganya majina nimeishia kucheka!..
- Pirot(kasuku) = Pilot (rubani)
- Nagivator 😕 = Navigator(Muongozaji)😉

Mbushuu!!![emoji23]
pirot sio kasuku, kasuku ni parot anyway sio lengo la mjadala
 
Hizo jet fighter za 3rd and 4th generations Africa tunazo kweli?
 
Upo sahihi lakini ulivyochanganya majina nimeishia kucheka!..
- Pirot(kasuku) = Pilot (rubani)
- Nagivator 😕 = Navigator(Muongozaji)😉

Mbushuu!!![emoji23]
Hahaaaa usicheke mkuu elimu za uzeeni hizi[emoji23] ila shukrani kwa masahihisho
 
Heko kwenu wadau wa ulingo huu mwanana kabisa kwa ajili ya kujuzana mambo kadha wa kadha.

Hivi karibuni nimesoma mahali kuwa Navigator wa ile ndege ya Israel iitwayo F-16 iliyotunguliwa na Jeshi la Syria amepona majeraha na kurudi tena angani lakini wakati huohuo taarifa hiyo ikasema kuwa Pilot wa ile F-16 hajapona vizuri kiasi cha kurudi angani.

Swali langu ni kuwa, ninaomba kujuzwa tofauti ya Navigator na Pilot katika ndege za kijeshi.

Nawasilisha wakuu.
Navigator,refridgerator,generator,teminator
 
Back
Top Bottom