Nini tofauti ya trade deals zinazofanywa na nchi za kiafrika ukilinganisha na zile zinazofanywa na nchi zilizoendelea

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu.

Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa rahisi ila baada ya kutoka marekani ikasema file la trade deal la UK litakuwa kwenye foleni na halitii matumaini kama litafikiwa haraka.

Swali langu kwenu, trade deal za Africa na hasa nchi Yangu Tanzania huwa zinakutana na changamoto kama ya hawa wenzetu? Mfano UK na India ziko kwenye negotiation ya trade deal na sometimes trade secretary huwa anarudi kwenye media anatoa mrejesho wapi deal imefikia na kwa mfano ya sasa imechukua zaidi ya mwaka.

Nashauri serikali ibadili mwelekeo .trade deals zinatugusa wote kama Mama alivyosema twende na dunia kwa Yale mengine basi na hili la deals twende na dunia ili tusiachwe. Tufanye transparency kwenye trade deals na si kuonyeshwa January na Kitila wakisaini na hatujui mmefikiaje ili baadae tusilaumiane.


View: https://youtu.be/Ff4A3wnXXVc?si=oAPUr1jOidsQIYv5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…