fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
Habari wana jamvi,nahitaji kufahamu tofauti ya Mtume na Nabii na namna walivyotenda kazi ktk ulimwengu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kutoka upande upi?Habari wana jamvi,nahitaji kufahamu tofauti ya Mtume na Nabii na namna walivyotenda kazi ktk ulimwengu
Nabii ni mjumbe aliyetumwa na Allaah Aliyetukuka bila kuteremshiwa sheria au kanuni mpya ilhali Rasuul ni yule aliyeteremshiwa sheria mpya. Hivyo, Nabii hutumia sheria ya Mtume aliyemtangulia.Habari wana jamvi,nahitaji kufahamu tofauti ya Mtume na Nabii na namna walivyotenda kazi ktk ulimwengu
UmeelewekaNabii ni mjumbe aliyetumwa na Allaah Aliyetukuka bila kuteremshiwa sheria au kanuni mpya ilhali Rasuul ni yule aliyeteremshiwa sheria mpya. Hivyo, Nabii hutumia sheria ya Mtume aliyemtangulia.
Kwa ufupi ni kuwa kila Mtume ni Nabii lakini si kila Nabii ni Mtume. Mtume ana daraja kubwa kuliko Nabii.
Na Allaah Anajua zaidi
Mitume ni wale ambao Mwenyezi Mungu aliwatuma kwa umma mbalimbali ili kuwaelekeza njia yake na kuwaepusha na njia za upotofu za Ibilisi na Shetani .
Kumbe Manabii ni wale walioletewa ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu ili wawafahamishe watu wao kuhusu ujumbe wake.
Pamoja mkuuUmeeleweka
Unavyoelewa ww haijalishi upandeUnataka kutoka upande upi?
Unaweza kunipa mfano hai wa mtume na nabii kwa majinaNabii ni mjumbe aliyetumwa na Allaah Aliyetukuka bila kuteremshiwa sheria au kanuni mpya ilhali Rasuul ni yule aliyeteremshiwa sheria mpya. Hivyo, Nabii hutumia sheria ya Mtume aliyemtangulia.
Kwa ufupi ni kuwa kila Mtume ni Nabii lakini si kila Nabii ni Mtume. Mtume ana daraja kubwa kuliko Nabii.
Na Allaah Anajua zaidi
Mitume ni wale ambao Mwenyezi Mungu aliwatuma kwa umma mbalimbali ili kuwaelekeza njia yake na kuwaepusha na njia za upotofu za Ibilisi na Shetani .
Kumbe Manabii ni wale walioletewa ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu ili wawafahamishe watu wao kuhusu ujumbe wake.
Mitume wakubwa wa Qurani ambao walipewa mitihani mingi wakawa na subira kustahimili matatizo ya umma zao. Hawa ni:Unaweza kunipa mfano hai wa mtume na nabii kwa majina
Nabii ni mjumbe aliyetumwa na Allaah Aliyetukuka bila kuteremshiwa sheria au kanuni mpya, yaani hutumia sheria za aliemtangulia. MfanoUnavyoelewa ww haijalishi upande
hawajakuunga jukwaa la dini tuSubscribed uzi muhimu sana huu
Hahaha wale watani zangu nilikuwa nawasalimia tuhawajakuunga jukwaa la dini tu
lakini mkuu kama nilishawahi kukuona kule 'mtaa ulioshindikanaa' au sio weweHahaha wale watani zangu nilikuwa nawasalimia tu
Ni kweli nipo ila sikuomba kuwepo kule hunter.lakini mkuu kama nilishawahi kukuona kule 'mtaa ulioshindikanaa' au sio wewe