Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hii ni ambulance inayopekeleka mama mjamzito kujifungua. Picha niliipiga mwaka jana maeneo ya Kagongwa, Kahama. Sikuweza piga kwa karibu maana mama mtoto alikuwa tayari kwenye njia ya uzazi.
Nyani,Maaan....I refuse to believe what you just said! Yaani huo mkokoteni unaovutwa na Punda ni gari la kubebea wagonjwa? I guess if you don't have any other means you just have to improvise....but dang.....it's a hard knock life out there
Nyani,
When were you last in Bongo? it is a hard knock life out there alright.
Tatizo hapa ni uongozi ikiwa hii ndio njia pekee ya kumfikisha mgonjwa hospital maana kiongozi anashindwa hata kuwahamasisha wananchi wakaona umuhimu wa kuchangishana na kununua ambulance hata kama itachukua miaka miwili ama mitatu hili ni tatizo.viongozi haohao wanaongoza kuuza mashamba na viwanja vya wazi na kwa manufaa yao.,,,think twice.SAHIBA.
About 18months ago...but I didn't go upcountry....
Swahiba
Wananchi wapo kwenye lindi la umasikini, utachangisha nini hao!! Mwananchi hawezi hata kununua panadol Sh 200, leo achangia pesa ya kununua Ambulance? labda kama atachangia maisha yake yote na vitukuu ndo utapata hiyo pesa.....kumbuka tuna miaka almost 50 ya uhuru mazeeee
🙄
Sasa hawa viongozi wanapataje pesa za kufanyia kampeni kina Lowasa na kundi lake wanapoingia madarakani wanahakikisha wanalipa fedha zao za kampeni kwanza hamna uzalendo....think twice.
SAHIBA.
...dawa ni kuwang'oa CCM tuu hakuna kitu kitabadilisha maisha ya wananchi kama CCM wataendelea kutawala!
Hizi ni picha za jana baada ya mvua kunyesha katikati ya Dar (picha kwa hisani ya MICHUZI JR
wakati huo huo,
Hapan ni Kihesa huko Iringa...
Pamoja na hayo, watu tuliopiga kambi kwenye bonde la kashfa tumejikuta tunafikiria zaidi kuhusu hili: