Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....unategemea nini Jiji bado wanatumia sewage system aliyojenga mkoloni 1950s kwa population ya watu laki mbili?
sasa tuache lawama....tufanye nini?
Huber Sauper alifichua ukweli uliofichika kwenye DARWIN'S NIGHTMARE wabunge wakaja juu!jinsi watu wanavyoishi maisha ya taabu leo makaratasi ndo yanapewa vipaumbele kuliko maisha ya watanzania!
Sijasema uache lawama. Nilichosema prove kuwa sisi sio tulivyo. Hakuna kiongozi wa juu wa Tanzania ambaye hajatembelea nchi zingine. Sasa kuiga tunashindwa nini??
Sijasema uache lawama. Nilichosema prove kuwa sisi sio tulivyo. Hakuna kiongozi wa juu wa Tanzania ambaye hajatembelea nchi zingine. Sasa kuiga tunashindwa nini??
labda walienda kwenye nchi ya Marskutembelea au kutotembelea nchi za nje wala sio hoja. if you got "it" then you got "it", if you don't then you don't, hence Ndivyo Tulivyo
Kwani wao watu wa nchi za nje walienda kwenye nchi gani ya nje?
labda walienda kwenye nchi ya Mars
Ni nchi ulikuwa hujui huko ndo wazungu walienda wakaja na maendeleo kwenye nchi zao ndani ya dunia!Heheheheee....Mars ni nchi? Lol
Ni nchi ulikuwa hujui huko ndo wazungu walienda wakaja na maendeleo kwenye nchi zao ndani ya dunia!
Kwani wao watu wa nchi za nje walienda kwenye nchi gani ya nje?
Walikuja kwetu, wakaona, wakasema 'bloody hell, we gotta to better'', wakaishia zao heheeee. The rest is history.