Nini tunahitaji kwanza? - (tazama picha na amua)

Nini tunahitaji kwanza? - (tazama picha na amua)

.....KipinduX2 + Ukame = death@ a very young age.....whats the point of vitambulisho while most of us don't live another day????
 
Inabidi tu-prove anachosema Nyani Ngabu wrong (Ndio tulivyo) kabla kulaumu sana. Viongozi wengi wamesoma nje au wametembelea nje lakini kwanini wakirudi nyumbani hawataki hata kutumia maigizo?
 
.....unategemea nini Jiji bado wanatumia sewage system aliyojenga mkoloni 1950s kwa population ya watu laki mbili?

Sawa kabisa mkuu Koba, tuna Mstahiki Meya,Mkurugenzi wa Jiji(watatu?),Mkuu wa Mkoa, Mwaziri wote wako Dar, Wahandisi watendaji wazito wote wako Dar.
Lakini hao wote ni kama wametoka Kijijini jana na hamna mwenye imagination ya namna ya kutatua matatizo ya a sustainable city.
Kutwa watendaji hawa ni kwenye kongamano,warsha,semina na mikutano holela.
Kuna jamaa Mkenya kacomment (katika JF)kuwa Jiji la DSM ni chafu sana duniani, la 40 kutoka chini.
Mameya wanashindana kujilimbikia mali kwa uuzaji wa viwanja hata kwenye njia za maji.
Pale bonde la Mpunga Msasani, kuna Meya wa halmashauri ya Kinonondoni ameuza eneo la mapito ya maji.Ikinyesha mvua kidogo tu ni mafuriko maana maji hayana pa kwenda(pale kati ya Shoppers na Mayfair).Kila mtu anogopa kumfunga paka kengele.Huyu jamaa vile vile,kwa kadri ya magazeti, ametuhimiwa kuwauzia Halmashauri kompyuta kwa bei ya kuruka.
Kwa mtindo huu Jiji la DSM daima litaendeshwa kiswahili mpaka apatikane Albert Mnali wa kuwanyoosha hawa watu wanaohusika.
 
sasa tuache lawama....tufanye nini?

Sijasema uache lawama. Nilichosema prove kuwa sisi sio tulivyo. Hakuna kiongozi wa juu wa Tanzania ambaye hajatembelea nchi zingine. Sasa kuiga tunashindwa nini??
 
Huber Sauper alifichua ukweli uliofichika kwenye DARWIN'S NIGHTMARE wabunge wakaja juu!jinsi watu wanavyoishi maisha ya taabu leo makaratasi ndo yanapewa vipaumbele kuliko maisha ya watanzania!
 
Huber Sauper alifichua ukweli uliofichika kwenye DARWIN'S NIGHTMARE wabunge wakaja juu!jinsi watu wanavyoishi maisha ya taabu leo makaratasi ndo yanapewa vipaumbele kuliko maisha ya watanzania!

mmh.. yaani wewe..!? haya bwana..
 
Mimi huwa nasifia nchi yangu na kuonyesha video za serengeti, ngorongoro, Zanzibar kwa washikaji.
Ila tukija kwenye ishu kama hii najifanya sio mtanzania, and to hell with patriotism, there is no way you can defend grown men/women who cant do their jobs properly. Flippin' hell!! Defending this shit is impossible, inabidi nivunge sijui natokea nchi gani heheee. I am a world citizen, living in a global village.
 
Sijasema uache lawama. Nilichosema prove kuwa sisi sio tulivyo. Hakuna kiongozi wa juu wa Tanzania ambaye hajatembelea nchi zingine. Sasa kuiga tunashindwa nini??

Miafrika ndivyo tulivyo..full stop....Hao viongozi pamoja na kusafiri kwao katika nchi nyingine miaka chungu tele wanasaidia nini('baada ya kujifunza') katika kutuletea maendeleo ya nchi yetu zaidi ya kujitajirisha wao na familia zao.....Cha msingi ni viongozi hawa kubadilika na kutatua matatizo ya waTanzania badala ya kutumia madaraka waliyopewa kujifadisha wao na familia zao...Tuepukane na viongozi ambao kwao maslahi yao binafsi ni bora kuliko yale ya wapiga kura,viongozi wenye uchungu na nchi(swali ni je wapo??) na si viongozi ambao wanaingia madarakani kwa kurubuni wapiga kura(kwa njia ya rushwa) na baadaye wakiingia madarakani(na wengine kuteuliwa katika nafasi mbalimbali) wanaanza kutumia nafasi zao kuchuma fedha kufidia rushwa walizotoa(yaani imekuwa ni kama biashara flani hivi)...Pia watendaji/wataalam wa fani mbalimbali wasijiingize katika politiki(hasa katika makundi ya kisiasa) badala yake wafanye kazi kulingana na utaalam wao.....Otherwise Miafrika tutabaki kama tulivyo(kukumbatia umaskini na kudidimia kimaendeleo)......Big up Ngosha NN
 
Sijasema uache lawama. Nilichosema prove kuwa sisi sio tulivyo. Hakuna kiongozi wa juu wa Tanzania ambaye hajatembelea nchi zingine. Sasa kuiga tunashindwa nini??

kutembelea au kutotembelea nchi za nje wala sio hoja. if you got "it" then you got "it", if you don't then you don't, hence Ndivyo Tulivyo

Kwani wao watu wa nchi za nje walienda kwenye nchi gani ya nje?
 
kutembelea au kutotembelea nchi za nje wala sio hoja. if you got "it" then you got "it", if you don't then you don't, hence Ndivyo Tulivyo

Kwani wao watu wa nchi za nje walienda kwenye nchi gani ya nje?
labda walienda kwenye nchi ya Mars
 
Its very shamefull, we are in 2009 and yet we don't know what is our priorities? Please don't tell me.
 
Tatizo ni uongozi pia hatuna vipaumbele,na hatujui nini tunahitaji kama nchi,ila la kusikitisha zaidi ni kwamba,hakuna anayetaka kuwajibika kila mmoja analalamika na kumtupia mwenzake lawama,,,,,we should fighty for our country
 
Kwa maoni yangu ID cards ndio za mwisho kuhitajika katika picha zote. Kwanza miundombinu. JF Kennedy alisema ni miundombinu ndio ilijenga amerika na sio amerika ndio iliyojenga miundombinu.

Nadhani hii issiue ya ID cards serikali iliikosea wakati ilipotengeneza vitambulisho vya kupiga kura mwaka 2005. Wakati huo serikali ingeuwa ndege wawili kwa wakati mmoja kwa kutengeneza kitambulisho kimoja kwa shughuli zote mbili, yaani utaifa na kupiga kura. Hapo tungeokoa gharama na kuepukana na skandali zilizojitokeza.
 
Back
Top Bottom