Nini ubora wa UDSM?

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo wa mazingira bora ya kujifunzia yaani lab na equipments? ni hosteli nzuri za kutosha? ni maji safi na salama? je hutokana na ubora wa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho au ndo cha kale ni dhahabu?

naomba kujuzwa ili nifahamu kwa nini wengi hunishauri kujiunga na chuo hicho na si vingine nchini?

USHABIKI UWEKWE PEMBENI TAFADHALI ili kunisaidia kujua mazingira halisi ya chuo hicho.
 
Yote uliyotaja ndio yanayokifanya kuwa bora.
Thread closed!
 
ni ukongwe wake lakini pia kina wahadhiri na maprofesa wengi wenye uwezo, ukilinganisha na vyuo vingine kama vile chuo cha kata (udom) chenye maprofesa 2 na tutorial assistants 300!
 


1.Hapa mimi nasema sio kweli kwasababu hakuna uthibitisho

2.May Be

3.Idont Know

4.hili ndio Jibu
 
Last edited by a moderator:
Ubora wa chuo hupimwa kwa output yake katika nchi kitaifa na kimataifa
-uwepo wa wakufunzi bora wenye sifa zisizo shaka
-ubora wa workforce output katika taasis mbalimbali
-reseach consultation kitaifa na kimataifa
-mazingira safi ya kusomea ikijumlisha na equipment zote zinazohitajika kwa kila kada
-impact ya workforce output kitaifa na kimataifa
-interaction ya multiculture kufuata elimu nchini mwako
-ubora wa kozi zako kitaifa na kimataifa ( applicability )

kinachoiangusha ud ni
-miundo mbinu ya zamani ukilinganisha na vyuo vingine vya south africa nk.
 
...its high time to try igorance...
 
mbona sioni nilichohitaji!!!?
 
Unapoona Magorofa marefu yanayogusa mawingu huko angani, ujue yamejengwa na wataalam wa UDSM... Mpaka hapo nadhani unaweza kujua sifa za UDSM.
 
Mimi cna ham na msomi yeyote make tuliwatuma bungeni lakn wanacho fanya utafikr wavuta bangi siwafagariiiii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…