Ukilinganisha na Vyuo vingine vya South Africa, sio Tanzania...Mtoa mada na wenzio mnaojifananisha nafikiri mtajifunza kitu hapa....msilinganishe Chuo Kikuu na Colleges, Institute au Shule za sekondari (kuna vyuo miundo mbinu yake ni hovyo kuliko hata Loyola au Alpha High SchoolUbora wa chuo hupimwa kwa output yake katika nchi kitaifa na kimataifa
-uwepo wa wakufunzi bora wenye sifa zisizo shaka
-ubora wa workforce output katika taasis mbalimbali
-reseach consultation kitaifa na kimataifa
-mazingira safi ya kusomea ikijumlisha na equipment zote zinazohitajika kwa kila kada
-impact ya workforce output kitaifa na kimataifa
-interaction ya multiculture kufuata elimu nchini mwako
-ubora wa kozi zako kitaifa na kimataifa ( applicability )
kinachoiangusha ud ni
-miundo mbinu ya zamani ukilinganisha na vyuo vingine vya south africa nk.