Nini ubora wa UDSM?

Nini ubora wa UDSM?

Ubora wa chuo hupimwa kwa output yake katika nchi kitaifa na kimataifa
-uwepo wa wakufunzi bora wenye sifa zisizo shaka
-ubora wa workforce output katika taasis mbalimbali
-reseach consultation kitaifa na kimataifa
-mazingira safi ya kusomea ikijumlisha na equipment zote zinazohitajika kwa kila kada
-impact ya workforce output kitaifa na kimataifa
-interaction ya multiculture kufuata elimu nchini mwako
-ubora wa kozi zako kitaifa na kimataifa ( applicability )

kinachoiangusha ud ni
-miundo mbinu ya zamani ukilinganisha na vyuo vingine vya south africa nk.
Ukilinganisha na Vyuo vingine vya South Africa, sio Tanzania...Mtoa mada na wenzio mnaojifananisha nafikiri mtajifunza kitu hapa....msilinganishe Chuo Kikuu na Colleges, Institute au Shule za sekondari (kuna vyuo miundo mbinu yake ni hovyo kuliko hata Loyola au Alpha High School
 
ni ukongwe wake lakini pia kina wahadhiri na maprofesa wengi wenye uwezo, ukilinganisha na vyuo vingine kama vile chuo cha kata (udom) chenye maprofesa 2 na tutorial assistants 300!

Pumbavuuuuuuuuuuuu
 
Hivi pale UDSM kuna kozi inaitwa BAGEN, hv hii kozi inahusiana na nn hasa coz sioni proffessionalism na any future use ya hii kozi, that the problem of Udsm too many future less courses na kozi zenye maana ni chache sana compared na vyuo vingine vyenye status ndogo tuu like ustawi wa jamii pale knyama!!! :banghead::screwy:
 
D.I.T ni institute na sio university

Ndugu chuo kuitwa institute haina maana kuwa ni dhaifu au hakiwezi kucompete na vyuo vinavyotambulika km universities. Hivi unakijua hiki chuo "Massachusetts Institute "? Hivi una habari kuwa hicho chuo kipo kwenye top three ya vyuo bora duniani?
 
udsm ni chuo bora(kanadahir wanafuzi wazur kitaaluma,kina maprof,na madr.wengi na matutor wachache) kuna vyuo avina maprof na vina dahili wanafunzi vilaza,,,ata waajiri wa kazi ud kwanza,,ukitaka kujua ud bora nenda burund tu,kataje sekuko,saut,teku,kama wataelewa
 
Kwa hiyo km wakisema udsm wadairi wanafunzi wenye three na vyuo vingine vidairi wanafunzi wenye dev one and two. Je hapo tutasema kuwa hivi vyuo ni bora kuliko udsm?
Mbona shule za sekondari huwa zinapokea failures kutoka shule za msingi na wanafunzi waliofanya vizuri huwa wanaenda government schools. Je kwa kigezo hicho tuseme kuwa government schools are better than private schools? The answer is absolutely NO coz every one knows kuwa private schools are better than government schools.
Hivyo ubora wa udsm sio matokeo ya kudairi wanafunzi wazuri ndiomana hata Harvard University ni chuo cha kwanza dunian na kinadairi wanafunzi bora zaidi frm all over the world bt ubora wa Harvard University hautokan na kudairi wanafunzi bora bali ni mambo mengine tu km vile research and consultancy, qualities of academic staffs, etc
 
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo wa mazingira bora ya kujifunzia yaani lab na equipments? ni hosteli nzuri za kutosha? ni maji safi na salama? je hutokana na ubora wa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho au ndo cha kale ni dhahabu?

naomba kujuzwa ili nifahamu kwa nini wengi hunishauri kujiunga na chuo hicho na si vingine nchini?

USHABIKI UWEKWE PEMBENI TAFADHALI ili kunisaidia kujua mazingira halisi ya chuo hicho.

Ubora uko ndani ya mtu! Hata ungefundishwa na tutorial assistants miaka yote kama uko fit utabaki hivo hivo regardless of the vessel (University). Kuhusu UD kuna mambo ni kweli lakini nadhani yote yanabebwa na UKONGWE wake na Identity.
 
Kwa hiyo km wakisema udsm wadairi wanafunzi wenye three na vyuo vingine vidairi wanafunzi wenye dev one and two. Je hapo tutasema kuwa hivi vyuo ni bora kuliko udsm?
Mbona shule za sekondari huwa zinapokea failures kutoka shule za msingi na wanafunzi waliofanya vizuri huwa wanaenda government schools. Je kwa kigezo hicho tuseme kuwa government schools are better than private schools? The answer is absolutely NO coz every one knows kuwa private schools are better than government schools.
Hivyo ubora wa udsm sio matokeo ya kudairi wanafunzi wazuri ndiomana hata Harvard University ni chuo cha kwanza dunian na kinadairi wanafunzi bora zaidi frm all over the world bt ubora wa Harvard University hautokan na kudairi wanafunzi bora bali ni mambo mengine tu km vile research and consultancy, qualities of academic staffs, etc

*******tu
Shule nyingi nzuri za private, zinazofanya vizuri, hazichukui vilaza, na zikimchukua kwa bahati mbaya anachunjwa. nazinazochukua vilaza matokeo ni mabaya kuliko hata ya gvt school. Chunguza japo kwa kupitia matokeo
 
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo wa mazingira bora ya kujifunzia yaani lab na equipments? ni hosteli nzuri za kutosha? ni maji safi na salama? je hutokana na ubora wa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho au ndo cha kale ni dhahabu?

naomba kujuzwa ili nifahamu kwa nini wengi hunishauri kujiunga na chuo hicho na si vingine nchini?

USHABIKI UWEKWE PEMBENI TAFADHALI ili kunisaidia kujua mazingira halisi ya chuo hicho.

Yote uliyotaja nisahihi, nilipokuwa pale darasa letu lilikuwa na wanafunzi toka vyuo mbalimbali East Africa, Malawi na Zambia. waliotoka vyuo vya Tanzania nje ya udsm walikuwa wanalalamika sana, sheria zinafuatwa sana, Prof na Dr wanajiamini na wanajisikia lakini shida ilikuwa kwa sababu rushwa,au kumtishia prof awafaulishe kozi kijinga jinga hamna.
Waliojaribu waliishia kupata stress na wengine hawajamaliza chuo mpaka leo. UDSM hawaendekezi ujinga,hawagawi GPA,unapata unachostahili labda uwe professional ktk kudesa na usijulikane hata siku moja. Sheria zinafuatwa, na kinachukua wanafunzi kutoka popote duniani, Kina wafundishaji wazuri wengi. Ndo maana wengi waliosoma vyuo vya kata wanajitahidi angalau Master/PHD wasome UDSM-MLIMANI. Bahati nzuri wengi wanajitahidi na wengine wanafaulu vizuri.
Ndo chuo cha Taifa(hii alisema JK 2005) akisaka kura pale Diamond jubelee.
 
*******tu
Shule nyingi nzuri za private, zinazofanya vizuri, hazichukui vilaza, na zikimchukua kwa bahati mbaya anachunjwa. nazinazochukua vilaza matokeo ni mabaya kuliko hata ya gvt school. Chunguza japo kwa kupitia matokeo

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa wanaoenda shule za serikali huwa ndio vilaza ila waendao private ndio wanaakili?
Labda nikupe mfano. Hivi unajua karibia kila mwaka ukichukua top three utakuta ni shule za private ndio zimeongoza? Je unataka kuniambia wanafunzi wanaoendaga kwenye shule hizi za private zinazoongozaga huwa wanaakiri kuliko wale wanafunzi ambao walichaguliwa shule za vipaji maalumu km mzumbe,elboru,kibaha, kulakala nk?
La hasha. Ni kwamba hizi shule za private ambazo nyingi zinazong'ara ni za seminari wanajua jinsi ya kumuandaa mwanafunz hata ambaye alikuwa hawezi na akawa mzuri.bt ukienda kwa private schools pamoja na public universities km udsm ni msuri wa mtu binafsi ndio unaomfanya afauru na sio kuwa walimu wanawaandaa vizur wanafunz.
Km unabisha embu tembelea lectures za hapa udsm ndio utaelewa ninachokisema
 
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA is the best in the Country as per now.
 
Jaribu kuchunguza watoto wanaoenda shule nzuri za private wengi toka primary school walikuwa wazuri sana wengi walichaguliwa gvt school hawakwenda na wengi wanauwezo mkubwa, angalia selection za kifungilo,marian nazingine kama hizo wanachukua creme. UDSM unaonyeshwa njia,wapi unataka kufika ni uamuzi wako. ndo chuo kikuu sio kila kitu kupewa. Wafundishaji wanajitahidi sana unapewa ufundishe kozi inawatu mia tano ni kazi sana unachoka hata ujaingia darasani, ukilinganisha mazingira na facilities zilizopo utagundua kwamba wafundishaji wa UDSM wanafanya kazi nzuri sana.
 
Embu pima pima crem zilizoenda sekondari za mzumbe, kifungilo,kilakala,elboru,na creme zilizoenda seminaries eg st Francis. Ukija kuangalia matokeo ya form four kwenye top ten utakuta nyingi ni seminary na ya kwanza ikiwa ni seminary.
Sasa jiulize why hawa seminary wamefanya vizur zaid kuliko hata hizi shule nzur za sekondari ambazo kimsingi upokea creme?
Pia jiulize kwann wazaz wengi wanapenda kuwapeleka watoto wao kwenye shule hizi za siminary? Bila shaka ni kwa sababu ya ubora wake. Sasa km wanaoendesha vyuo km saut ndio walewale wanaoziendesha hizi seminary then why mtu anadharau elimu ya saut?
Khs kufundishwa chuo nadhan ndugu umekosa exposure tu. Mm nimefanya masters yangu uk at the leading public university in uk. Bt they teach each and every thing. Wanampa mwanafunzi kila kitu. Wanapotaka mwanafunz ajitafutie mwenyewe ni kwenye assignments na research papers, hapo ndio huwa watu wanaandika assignments na research za maana sana coz wapo sensitive sana kwenye plagiarism. Bt huko kwetu unakuta mwanafunzi hafundishwi eti ndio kuwa chuo kikuu. Shida sana.
Visit Harvard University, Yale University, Massachusetts Institute, coventry university, Stan Ford uone km hawafundishi km hapo chuoni kwako.
 
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo wa mazingira bora ya kujifunzia yaani lab na equipments? ni hosteli nzuri za kutosha? ni maji safi na salama? je hutokana na ubora wa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho au ndo cha kale ni dhahabu?

naomba kujuzwa ili nifahamu kwa nini wengi hunishauri kujiunga na chuo hicho na si vingine nchini?

USHABIKI UWEKWE PEMBENI TAFADHALI ili kunisaidia kujua mazingira halisi ya chuo hicho.

hili suala unaweza ukalifanyia risechi mdau,naamin unaweza na hutakatazwa,,,,hear say si nzuri saaana,kama upo Tanzania fanya risech kwa ku-compare na vyuo vingine
 
Back
Top Bottom