Nini ubora wa UDSM?

mtoa mada haulizi abt Institute anauliza abt UNIVERSITY,KAMA UNATAKA KUKOMPEA DIT,
DIT HUWEZ KUIFANANISHA HATA NA IDS(INSTITUTE OF DEV STUDIES)

Lack of information bado ni tatizo kwa sisi wa tz. Kwan nani kakuambia institute can not compete with university?
Hivi unajua kuwa Massachusetts Institute of technology ni chuo ambacho kipo kwenye tatu bora duniani? Ni wala sio university.
 
Haya D I T is the best institute in posta.
 
ndugu tafadhari tuongee tuliyokuwa tunaongea, hujui nimezaliwa wapi,ninaelimu gani na nimesoma wapi. exposure ni zaidi kufika mahali. kujishaua sio vizuri, ongea vitu katika uhalisia. a.w hongera kwa kusoma huko.
 
Jibu hoja kijana acha kujidefend kitoto
 
world class profs. at udsm. natamani ningerudi idsm.
 
Lack of information bado ni tatizo kwa sisi wa tz. Kwan nani kakuambia institute can not compete with university?
Hivi unajua kuwa Massachusetts Institute of technology ni chuo ambacho kipo kwenye tatu bora duniani? Ni wala sio university.

economista ukizungumzia institute kama hiyo kwa huko ulaya mbona utakuta hata unv of pretoria haiingii,
me nazungumzia kwa muktadha wa hapahapa home,,,wewe unakuja na mifano ya dunia ya kwanza hatuwez kuelewana,,,,
 
Last edited by a moderator:
Guys! Hizi mada za kutambiana vyuo we are getting sick of them! Mnakumbuka kina#mpigamsuli na wengineo walitusumbua sana humu jukwaani....however mleta mada anaweza akawa ana nia njema ya kutaka kujua quality ya ubora ya udsm lakini wachangiaji tukaifanya hii mada kuwa malumbano ya vyuo(tukaiharibu).kwa kuwa ametaka maelezo ya udsm basi tujikite kwa udsm kwa wale tu wanaoifaham udsm.kama huijui nyamaza na jifunze,kesho njoo na thread yako ya chuo unachoona kina sifa na utueleze ili na sisi tujuwe yanayojiri humo ili tujifunze kiustaarab kama ambavyo na wewe umejifunza leo.
Back to topic:mimi ntaeleza kigezo kimoja ambacho chuo chochote duniani hupimwa ubora wake kutokana na kigezo hicho ambacho ni IDADI YA PUBLICATIONS NA CONFERENCES. Hapa nazungumzia academic publications kwenye international journals mbalimbali duniani. Publications hizi hufanywa na wanafunzi na/walimu zikiwa ni research papers au theoretical papers.pia idadi ya academic conferences ambazo chuo kinaandaa au walim na/wannafunzi wake hushiriki. Kwa mazingira ya kitanzania Udsm ndio chuo kinachoongoza katika kategoria hii ukilinganisha na vyuo vinginevyo.
Kwa wanaoelewa thamani ya academic publications na conference katika academic arena nadhani wamenielewa,ama kwa wale wanaoamua kuishi kiushabiki tu basi niseme poleni!
 
I think udsm ni chuo mama, sua ilikua branch ya udsm, hd1984. Ambapo ilianza kujitgemea km chuo kikuu, fikiri walimu walitoka wap km co udsm huko, then ht mzumbe ni baada ya udsm na ndivyo vyuo vya serikali vya muda mrefu so elimu ni ile ile walimu ni wale wale shida ss wahitimu na ufanisi wetu makazini. Hamna chuo cha kumfanya mtu awe goi goi au kiburi ila hiyo ni tabia binafsi ya mtu.
 
Good contribution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…