Nini ufanye ili uwe na furaha siku zote unapotumia mitandao ya kijamii, hasa JamiiForums?

Huwezi kumu attack mtu kwa kisingizio cha kua eti unafanya utani, ni mjinga tu ndiye atakaye kuamini, jana umemshambulia mtu eti leo unaleta ushauri, huo ushauri ufuate wewe kwanza mlamba viatu vya mshana.
 
Just be you.

Don't pretend to be someone you are not. That way you can always stand up for yourself.

Try as much as you can to be respectful and know your limits. You can make someone's day better...or worse.

Please do not be a troll or bully others. Because when it's your turn, you will deeply regret your actions.
 
We jamaa nikiboko tena wamajini
Unakuwaga na comment za kichokozi sana
Huu uzi sikutegemea kama ungeuleta.
Ujumbe mzuri haya majukwaa ukichukulia kila kitu Serious tapata sonona bure😂😂
 
We jamaa nikiboko tena wamajini
Unakuwaga na comment za kichokozi sana
Huu uzi sikutegemea kama ungeuleta.
ujumbe mzuri haya majukwaa ukichukulia kila kitu serios utapata sonona bure😂😂
Humu jukwaani ukija, tambua kabisa kuwa umeingia kwenye ulimwengu wa mazingaombwe, unachokiona hakiko hivyo kilivyo.
 
Kama tunatumia ID fake kuficha uhusika wetu halisi, basi tunaweza ku fake kua sio kila kitu tunachokiandika humu kipo real.
 
Raha jipe mwenyewe and don't expect from anyone, live your life, be you. Mtandaoni watu Wana stress zao, chuki na maisha yamewashinda huko mtandaoni ndio only place ya ku-fake na kujifariji.
 
Bujibuji is your business. Ulipoambiwa mind your business then you turned your neck to Bujibuji.
Good
 
Ila pale jukwaa la siasa panahitaji moyo, watu wamejitoa ufahamu aisee, wengine bila kuwa ignore mtagombana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…