barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hapa lazima uwe na stress, kuwa na amani na watu wote haiwezekani!Pia tafuta kuwa na amani na watu wote. Usilipe wema kwa ubaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa lazima uwe na stress, kuwa na amani na watu wote haiwezekani!Pia tafuta kuwa na amani na watu wote. Usilipe wema kwa ubaya.
Kuna wanna JF wanawaroga wenzao kwa ajili ya kugongana mawazo hapa jukwaani.Siasani asilimia kubwa take it as a joke...
Inawezekana, sio mashindano!Hapa lazima uwe na stress, kuwa na amani na watu wote haiwezekani!
your RABI[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwanza kuna Majukwaa kama la siasa siwezi pita hata kwa bahati mbaya kwa afya yangu.
Pia Jukwaa hili la Habari na Hoja mchanganyiko. Mambo mengi Sitaki kuyachukulia serious (kwa Wanaokutana na comments zangu wananijua), maana mengi ni changamsha genge na unakuta hata mwandishi wa uzi kaandikia Bar, unakuta mtu anasifia maisha yake, wewe na wivu wako unaumia unaanza kumuwakia, kumbe maskini wa watu anajifariji.
Kupenda ligi nako mara nyingi Huishia kwenye Ugomvi.
Ila kiukweli kuna watu wanapata moto haraka sana humu, yani mtu kitu kidogo tuu anageuka mbogo, Hawa ndio wale unakuta simu zao zimepasuka vioo kumbe ni ku typ kwa hasira.
Unakuta mtu ana typ mikono inatetemeka, kang'ata meno, anasunya mpaka jasho linamtoka. Huku ni kujishushia Immune tu, watu waanike maturubai.
Ningependa nami kuongeza jambo moja;
Tusipende sana kuwa-block ama kuwa-ignore watu. Hiyo ni ishara ya kuwahofu watu hao. Ni udhaifu!
Rabi ni mwalimu.your RABI[emoji16][emoji16][emoji16]
mkuu wewe ni jinsia gani!!!au nawewe ni kama warumi(G).
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Mathayo : Mlango 23your RABI[emoji16][emoji16][emoji16]
mkuu wewe ni jinsia gani!!!au nawewe ni kama warumi(G).
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
ewaaa sasa umerudi vyem.Mathayo : Mlango 23
8 Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu.
Yohana : Mlango 1your RABI[emoji16][emoji16][emoji16]
mkuu wewe ni jinsia gani!!!au nawewe ni kama warumi(G).
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna watu wengine wanaharisha sana kimantiki. Issue siyo kuwa na mawazo tofauti bali kuharibu uzi, na kawaida hawajibu hoja au wanaanzisha hoja za kufikirika bila vyanzo vya msingi. Unavumilia lakini inafika mahali michango ya mtu inakufika shingoni, kwa nini aendelee kukunyima furaha?.Ningependa nami kuongeza jambo moja;
Tusipende sana kuwa-block ama kuwa-ignore watu. Hiyo ni ishara ya kuwahofu watu hao. Ni udhaifu!
Mwanadamu yeyote kitu anachotarajia kabisa maishani ni furaha na amani. Utataka upate mpenzi mzuri, mrembo kuliko wote ili akupe furaha.
Mwanamke atataka mpenzi mwenye hela, mcha Mungu, mpole, etc akitarajia furaha. Utataka gari Kali sio kwamba likusafirishe tu, Bali pia likubebee jina lako mbele ya jamii, watu wakuheshimu na upate furaha. Furaha limekuwa jambo adimu sana kwa raia wa Tanzania 🇹🇿. Tanzania 🇹🇿 ni ya nne duniani kwa kukosa furaha.
Je, nini ufanye ili uwe na furaha siku zote unapotumia mitandao ya kijamii? Kwanza usitegemee kupewa au kupata furaha kutoka kwa mtu mwingine.
Mitandao ya kijamii imejaa watu wenye msongo mkali wa mawazo, watu wenye chuki, watu walioumizwa na maisha, watu dhalimu kabisa. Je, watu wa namna hii ambao wao binafsi hawana furaha watawezaje kukufurahisha wewe?
1. Jifunze kuongelesha utu wako wa Ndani kwamba wewe una nguvu ya kuvumilia changamoto zozote bila kupoteza furaha.
2. Tegemea matusi, kashfa, kejeli, dharau etc Kisha ujiambie "mbona hamna kitu kipya hapa"?
3. Mpuuze yeyote mwenye kukutusi, usimjibu, au ukimjibu mwambie hilo tusi lako ni la kizamani sana, limeshapitwa na wakati na wala haliumizi tena, nitafutie tusi jipya huenda likaniumiza kidogo. Kwa jibu hilo utamfanya mtukanaji wako apoteze nguvu za kutukana zaidi na ajione mpumbavu. Pia, unaweza kumuuliza, kwa kunitukana account yako bank imeongezeka kiasi gani? Basi leo nitukane hadi uwe tajiri kama Mzee Mengi.
4. Mind your own business. Jukwaani usitegemee kumfurahisha kila mtu. Yesu mwenyewe aliyekuwa anafufua watu hakuweza kumfurahisha kila mtu, akaishia kuuliwa kifo Cha aibu, wewe ni Nani uweze?
5. Fuata kanuni, taratibu, masharti na sheria zinazoendesha huo mtandao wa kijamii. Hii itakufanya uishi maisha mepesi na kujiepusha na adhabu za kupigwa ban etc kitu kinachoweza kukuletea stress. Huwa tunaona watu wakipigwa ban wanavyounda ID mpya na kuja na mapovu.
6. Usimtukane mtu, Wala kumshambulia yeyote. Hii itakuepusha na mifarakano. Hamna mfarakano uletao raha.
Hapa nimeorodhesha machache tu, na wewe unaweza kuongezea nyama na matango pori kidogo ya mbinu unazotumia kulinda furaha yako.
Mtu kama Mshana Jr, anaitwa majina mabaya, anasemwa mchawi etc lakini humuoni akikasirika wala kuhamaki kwenye majibu yake.
Pascal Mayalla amekuwa akishambuliwa Sana, akipewa tuhma nzito za kumchongea Eric Kabendera lakini kwenye majibu yake hukuona hamaki, taharuki, wala kashfa na matusi kwa waliomtuhumu.
Kila bandiko lake ni mlango wa yeye kusemwa vibaya lakini anayashinda yote.