Nini ufanye ili uwe na furaha siku zote unapotumia mitandao ya kijamii, hasa JamiiForums?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ningependa nami kuongeza jambo moja;

Tusipende sana kuwa-block ama kuwa-ignore watu. Hiyo ni ishara ya kuwahofu watu hao. Ni udhaifu!
Mkuu kuna watu wengine wanaharisha sana kimantiki. Issue siyo kuwa na mawazo tofauti bali kuharibu uzi, na kawaida hawajibu hoja au wanaanzisha hoja za kufikirika bila vyanzo vya msingi. Unavumilia lakini inafika mahali michango ya mtu inakufika shingoni, kwa nini aendelee kukunyima furaha?.
 
Mnhuhh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…