Nini Ufanye kama jina lako halipo ajira mpya hususani waliorudia Supp

Nini Ufanye kama jina lako halipo ajira mpya hususani waliorudia Supp

Joined
Mar 14, 2015
Posts
85
Reaction score
105
kama una uzoefu na hili jambo hebu toeni msaada though walimu wengi walioondoa supp last year majina hayapo na wengine baadhi ya vyuo hawapo nini kifanyike?

je ni kwenda vyuoni su Tamisemi?
 
kama una uzoefu na hili jambo hebu toeni msaada though walimu wengi walioondoa supp last year majina hayapo na wengine baadhi ya vyuo hawapo nini kifanyike?

je ni kwenda vyuoni su Tamisemi?
Hapo vyuoni walishamaliza yao hasa wewe kufanya mtihani, cha msingi ni kuwasiliana na Tamisemi tu hakuna njia nyingine
 
Kuna zile page pale ambazo hazijajazwa majina it maight be zikawekwa hayo majina.

But plan B kuna raiaaa kesho wanaingiaaaa tamisemi kufuatilia hili swala kwani ni raia wengi sana hawajapangiwa vituo.

Zaidi ya 1000
 
Nadhani labda wanarekebisha maana majina ya sekondari yameondolewa.
 
kwa experince yangu walimu wengi wanaosapua especially diploma wachache sana huajiriwa na wale fresh yaan first intake bt weng wao huajiriwa awamu ya pili ya ajira so naamin mtaajiriwa msiwe na presha#God is good all the time100%#
 
Back
Top Bottom