Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Ni simple tu.
Nenda kituo cha polisi kilicho karibu nawe watakupa msaada.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
sasa kiongozi ukisepa si utaambiwa wewe ndo umehusika hlf umesepa auKitanzania kama kuna namna yakusepa wew sepa
Aliuawa au alifariji kawaida?Kitanzania kama kuna namna yakusepa wew sepa tu kama usije uungwana wakutoa taarifa ukakuponza ukapoteza mda wako mahabusu, nina ndugu true story kabsa alipoenda mwenyeji alifariki ghafla akashikwa yeye na mtu mwngne wa pale kakaa gerezani karibia miaka 2 ndo anakuja kutolewa hana hatia so kibongo bdo sana wew mtoa taarifa ndo mtuhumiwa namba 1
Amekufia wapi? Guest House?Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili.
Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo?
Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo.
Hatuombei mambo haya lakini hatuwezi kuzuia yasitokee maana kila binadam aliyezaliwa kwa mwanamke ana mwisho wake.
Sisi sote ni wa mavumbini na mavumbini tutarudi.
kawaidaAliuawa au alifariji kawaida?
CCTV tu ndiyo utakayokuokoa usiisaidie Polisi kazi kwa muda mrefu otherwise kama hakuna mtu na ulikuwa naye wewe basi JUMBA BOVU LINAKUDONDOKEA.Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili.
Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo?
Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo.
Hatuombei mambo haya lakini hatuwezi kuzuia yasitokee maana kila binadam aliyezaliwa kwa mwanamke ana mwisho wake.
Sisi sote ni wa mavumbini na mavumbini tutarudi.
SawaSwali ni amekufa katika mazingira gani, alikuwa mgonjwa au ghafla?
Kama ni nyumbani na kifo ni cha asili.
1. Vuta pumzi nzito, shukuru Mungu kwa kilichotokea.
2. Fanya umuweke marehemu vizuri kama amekufa katika hali isiyo ya kawaida, huenda hakufumba macho, alijisaidia nk. Muweke vizuri, valisha nguo nzuri.
3. Pigia simu ndugu zako wa karibu wape taarifa.
4. Piga simu kwa jirani, mpe taarifa aje kukupa msaada.
5. Mpelekeni marehemu mochwari na taratibu nyingine zitafuata huko.
Kifo nacho kinaogopesha sana..Swali ni amekufa katika mazingira gani, alikuwa mgonjwa au ghafla?
Kama ni nyumbani na kifo ni cha asili.
1. Vuta pumzi nzito, shukuru Mungu kwa kilichotokea.
2. Fanya umuweke marehemu vizuri kama amekufa katika hali isiyo ya kawaida, huenda hakufumba macho, alijisaidia nk. Muweke vizuri, valisha nguo nzuri.
3. Pigia simu ndugu zako wa karibu wape taarifa.
4. Piga simu kwa jirani, mpe taarifa aje kukupa msaada.
5. Mpelekeni marehemu mochwari na taratibu nyingine zitafuata huko.
Sio kwa ubaya @tanpol ila nakazia hii reply.Polisi Tanzania?????
Ushauri mbaya sana.
Polisi wetu sio Rafiki.
Ni makatili.
Wauaji.
Wala Rushwa.
Wabambikaji wa Kesi nk.