Nini ufasaha wa misamiati hii?

Nini ufasaha wa misamiati hii?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
  • Kulala njaa-kulala na njaa
  • Gari yangu-gari langu
  • Kuchukua fursa-kutumia fursa
  • Ruhusa-ruksa
  • Marehemu-hayati
  • Majonzi-machozi
  • Kupika mchele-kupika ubwabwa
- Unaruhusiwa kuongeza orodha.

Asante
 
Kulala njaa

Gari langu --- magari yangu (Li/Ya)

Ruhusa = ruksa

Marehemu na hayati ni ^Viswahili^ sanifu

majonzi = huzuni; machozi = tears

Kupika wali ama kupika ubwabwa (end product ndiyo humata! Like: kupika ugali not kupika unga wa mahindi 🙂 )
 
Kulala njaa

Gari langu --- magari yangu (Li/Ya)

Ruhusa = ruksa

Marehemu na hayati ni ^Viswahili^ sanifu

majonzi = huzuni; machozi = tears

Kupika wali ama kupika ubwabwa (end product ndiyo humata! Like: kupika ugali not kupika unga wa mahindi 🙂 )
Asante mkuu. bado nategemea mawazo yenu
 
Kijana wangu-kijana yangu
Binti yangu-binti wangu


Mi naomba kujua kuhusu hapa...
ni
Kijana wangu>???<mzee wangu??
Au
Kijana wangu><binti wangu??
 
Back
Top Bottom