OK chief nilikuwa sijui hilo, asante kwa ufafanuzi wakoIna maana hujui kuwa hiyo ilikuwa TBC FM? Wameibadilisha jina na kuizindua upya eti iwavutie vijana na ishindane na Clouds fm, wasafi fm na e fm!. Hiyo redio ni kitu kimoja na TBC.
Kanzu mpya Sheikh ni yuleyule.....Mchele mmoja mapishi mbalimbali...
PRT ,TBC FM,BONGO FMIna maana hujui kuwa hiyo ilikuwa TBC FM? Wameibadilisha jina na kuizindua upya eti iwavutie vijana na ishindane na Clouds fm, wasafi fm na e fm!. Hiyo redio ni kitu kimoja na TBC.
ni zilezile hawakubadiliWamebadilisha na frequency au zimebaki zilezile?