Mtoa mada rudia kusoma point ya Excel kuna kaukweli kwa mbaaaali
Sasa makitru ya pombe na paroko wapi na wapi?
Ila kuna jamaa hapa jirani ni chapombe kinoma lakini mkewe anazaa kila mwaka
Sijui inakuwaje kuhusiana na hao watoto wake
Lakini wengi ni wa kiume
Au niko nje ya mada?
Hawa kina charminglady wabishi sn km mwallu na tian na miss chagga na miss neddy ndio wabishi kabisa!
Lkn kina Mentor ukiwa umeweka ile Mayi na Blood presure ikawa juu, basi unakua umewaua kabisa!
Unapokunywa alcohol inakuwa kwenye system ya dama hivyo mbegu zinakuwa zimelewa speed hazina!!lolnimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt, miss neddy, charty, Valentina, Dinazarde nk.. kwa mfano lakini wajameni!! sitaki mawe hapa!!
lakini unapokuwa na nguvu, umekula vizuri, balanced diet nk.. basi hiyo siku ni njema kwa uzao wa ma-giant kama Excel, Eiyer, mwekundu, Ntuzu, Mentor, Kaizer, uran, Rich Pol, KakaKiiza, MziziMkavu, The Boss.. nk!
kwa wanaume nadhani ni sahihi! karibuni mezani kwa excel!
Unapokunywa alcohol inakuwa kwenye system ya dama hivyo mbegu zinakuwa zimelewa speed hazina!!lol
nimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt, miss neddy, charty, Valentina, Dinazarde nk..
ahahhahaha sezae umeamka salama lakini?..mie mbishi kiasi tu,sio sana
lol