Nini Uhusiano wa Ulevi na kuzaa watoto wa Kike kwa wanaume?

Nini Uhusiano wa Ulevi na kuzaa watoto wa Kike kwa wanaume?

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,423
Reaction score
1,987
Habari wadau,

Ni utafiti usio rasmi na pengine usiokuwa wa kisayansi nilioufanya binafsi,

Ni hivi, Asilimia kubwa ya Wanaume ambao ni Walevi kupindukia, Si wote.
Wanazaa zaidi watoto wenye jinsia ya Kike.

Hii inasababishwa na nini?
Naomba ufafaiuzi kwa yeyote anaefahamu.
 
Mmh..

Ngoja na mimi nifanye utafiti wa kienyeji...
 
Huu sio utafiti sema ni observation umefanya. Siku hizi mmekuwa mnalitumia hili neno utafiti isivyo sahihi. Hii ni scientific process na ina procedure/steps zake.
 
nimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt, miss neddy, charty, Valentina, Dinazarde nk.. kwa mfano lakini wajameni!! sitaki mawe hapa!!

lakini unapokuwa na nguvu, umekula vizuri, balanced diet nk.. basi hiyo siku ni njema kwa uzao wa ma-giant kama Excel, Eiyer, mwekundu, Ntuzu, Mentor, Kaizer, uran, Rich Pol, KakaKiiza, MziziMkavu, The Boss.. nk!

kwa wanaume nadhani ni sahihi! karibuni mezani kwa excel!
 
Last edited by a moderator:
Sasa makitru ya pombe na paroko wapi na wapi?

Ila kuna jamaa hapa jirani ni chapombe kinoma lakini mkewe anazaa kila mwaka

Sijui inakuwaje kuhusiana na hao watoto wake

Lakini wengi ni wa kiume

Au niko nje ya mada?
 
Mtoa mada rudia kusoma point ya Excel kuna kaukweli kwa mbaaaali
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada rudia kusoma point ya Excel kuna kaukweli kwa mbaaaali

ahsante kwa kuona hilo!

mwanaume aliyepatikana wakati baba akiwa amelewa, kawaida anakuwa na afya majanga majanga kila wakati!

mtoto wa miaka 4 anaonekana kama 10 hivi!
 
Excel hoja yako Ina ukweli Fulani!

Mbegu za kike zina sifa ya kuhimili vikwazo sn kuliko! Kina Eiyer na Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Sasa makitru ya pombe na paroko wapi na wapi?

Ila kuna jamaa hapa jirani ni chapombe kinoma lakini mkewe anazaa kila mwaka

Sijui inakuwaje kuhusiana na hao watoto wake

Lakini wengi ni wa kiume

Au niko nje ya mada?

uko ndani ya mada bana! twendelee na stata mzuka!
 
Last edited by a moderator:
sijui sababu lakini nadhani kuna uhusiano kati wanaume walevi na kupatikana kwa watoto wa kike. kuna jirani yetu alikuwa ni mlevi kupindukia na alipata watoto watano, wote wa kike
 
Hii inaweza kuwa ni kwa sababu mtu mlevi mara nyingi huapati muda wa kula vizuri anakuwa mnyonge bila nguvu. Kwa kuwa mwili wake hauna nguvu, mbegu za kiume nazo zinakuwa hazina nguvu ya kushinda zile za kike wakati kila moja ikiwahi kuingia kwenye yai. Aidha, uchunguzi unaonyesha kuwa watu walevi wanazaa watoto wengi kwa sababu akisha lewa pombe zinashuka chini na anakuwa hana maamuzi ya ku-control hisia zake na kukumbuka kuwa huenda mkewe yuko katika siku za hatari.
 
Tafiti nyingine za kichawi tu, jirani yetu ana watoto midume vifua vimetuna wakati yeye ni mwenyekiti wa walevi mtaani kwetu! Bwana Isihaka na mkewe ni wanywaji wazuri wa soda na juice juice, wamefyatua warembo mwanzo mwisho,acheni mitazamo ya kijumla jumla bwana!
 
nimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt, miss neddy, charty, Valentina, Dinazarde nk.. kwa mfano lakini wajameni!! sitaki mawe hapa!!

lakini unapokuwa na nguvu, umekula vizuri, balanced diet nk.. basi hiyo siku ni njema kwa uzao wa ma-giant kama Excel, Eiyer, mwekundu, Ntuzu, Mentor, Kaizer, uran, Rich Pol, KakaKiiza, MziziMkavu, The Boss.. nk!

kwa wanaume nadhani ni sahihi! karibuni mezani kwa excel!
Unapokunywa alcohol inakuwa kwenye system ya dama hivyo mbegu zinakuwa zimelewa speed hazina!!lol
 
nimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt, miss neddy, charty, Valentina, Dinazarde nk..

big-grin-smiley-emoticon.gif
 
Back
Top Bottom