Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
nimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt,!
ubishi wetu ni nini jamani?Hawa kina charminglady wabishi sn km mwallu na tian na miss chagga na miss neddy ndio wabishi kabisa!
Lkn kina Mentor ukiwa umeweka ile Mayi na Blood presure ikawa juu, basi unakua umewaua kabisa!
utakuwa mtoto wa nje ya ndoa wewemimba yangu ilitungwa jumamosi sa kumi...unataka niendelee?????
utakuwa mtoto wa nje ya ndoa wewe
dah hivi ww Excel ulipataga biology ngapiiii? kwenye mtihani wako wa fom four!! ungekua unasoma miaka hii division 5 ingekuhusu aiseee!!nimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt, miss neddy, charty, Valentina, Dinazarde nk.. kwa mfano lakini wajameni!! sitaki mawe hapa!!
lakini unapokuwa na nguvu, umekula vizuri, balanced diet nk.. basi hiyo siku ni njema kwa uzao wa ma-giant kama Excel, Eiyer, mwekundu, Ntuzu, Mentor, Kaizer, uran, Rich Pol, KakaKiiza, MziziMkavu, The Boss.. nk!
kwa wanaume nadhani ni sahihi! karibuni mezani kwa excel!
mtoto wa nje ya ndoa ndo yukoje?
Yaani wanandoa wanapokuwa matembezini nje ya Nyumba wakikutana na mtoto anacheza nje wanamchukua na kumleta ndani. Huyo ndo mtoto wa nje ya ndoa Evelyn Salt
kaka yangu na mkewe hawanywi toka wazaliwe lakini mpaka leo wana watoto watatu. Wote wa kike!
Naona kama hii koment yako ipo sayantifiki.Hii inaweza kuwa ni kwa sababu mtu mlevi mara nyingi huapati muda wa kula vizuri anakuwa mnyonge bila nguvu. Kwa kuwa mwili wake hauna nguvu, mbegu za kiume nazo zinakuwa hazina nguvu ya kushinda zile za kike wakati kila moja ikiwahi kuingia kwenye yai. Aidha, uchunguzi unaonyesha kuwa watu walevi wanazaa watoto wengi kwa sababu akisha lewa pombe zinashuka chini na anakuwa hana maamuzi ya ku-control hisia zake na kukumbuka kuwa huenda mkewe yuko katika siku za hatari.
Tafiti nyingine za kichawi tu, jirani yetu ana watoto midume vifua vimetuna wakati yeye ni mwenyekiti wa walevi mtaani kwetu! Bwana Isihaka na mkewe ni wanywaji wazuri wa soda na juice juice, wamefyatua warembo mwanzo mwisho,acheni mitazamo ya kijumla jumla bwana!
Mjomba tunajaribu kuwa wadadisi mkuu.