Nini Uhusiano wa Ulevi na kuzaa watoto wa Kike kwa wanaume?

Nini Uhusiano wa Ulevi na kuzaa watoto wa Kike kwa wanaume?

nimepata kusikia kwamba mbegu z kiume, unapokuwa umelewa, zinakuwa hazina nguvu! hivyo, zina generate watoto wa kike kama Evelyn Salt, miss neddy, charty, Valentina, Dinazarde nk.. kwa mfano lakini wajameni!! sitaki mawe hapa!!

lakini unapokuwa na nguvu, umekula vizuri, balanced diet nk.. basi hiyo siku ni njema kwa uzao wa ma-giant kama Excel, Eiyer, mwekundu, Ntuzu, Mentor, Kaizer, uran, Rich Pol, KakaKiiza, MziziMkavu, The Boss.. nk!

kwa wanaume nadhani ni sahihi! karibuni mezani kwa excel!
dah hivi ww Excel ulipataga biology ngapiiii? kwenye mtihani wako wa fom four!! ungekua unasoma miaka hii division 5 ingekuhusu aiseee!!
 
kaka yangu na mkewe hawanywi toka wazaliwe lakini mpaka leo wana watoto watatu. Wote wa kike!
 
Sio kweli hali ya kukosa mtoto wa kiume haisababishwi na pombe tatizo laweza kuwa la kurithi katika familia kwamba ukooo wenu unazaaa sana watoto wa kike na kijana nae anapooa anaweza kukumbwa na haka katatizo
Mbegu kama ni dhaifu zitakuwa dhaifu hata kama hunywi pombe
 
Very minor lkn kunasbbu nyng kama mattzo ya kbailojia na cku wanazokutana baada ya bleeding ndo kubwa.
 
Duu! Ya kweli hayo??
ahsante kwa kuona hilo!

mwanaume aliyepatikana wakati baba akiwa amelewa, kawaida anakuwa na afya majanga majanga kila wakati!

mtoto wa miaka 4 anaonekana kama 10 hivi!
 
Hii inaweza kuwa ni kwa sababu mtu mlevi mara nyingi huapati muda wa kula vizuri anakuwa mnyonge bila nguvu. Kwa kuwa mwili wake hauna nguvu, mbegu za kiume nazo zinakuwa hazina nguvu ya kushinda zile za kike wakati kila moja ikiwahi kuingia kwenye yai. Aidha, uchunguzi unaonyesha kuwa watu walevi wanazaa watoto wengi kwa sababu akisha lewa pombe zinashuka chini na anakuwa hana maamuzi ya ku-control hisia zake na kukumbuka kuwa huenda mkewe yuko katika siku za hatari.
Naona kama hii koment yako ipo sayantifiki.
 
Tafiti nyingine za kichawi tu, jirani yetu ana watoto midume vifua vimetuna wakati yeye ni mwenyekiti wa walevi mtaani kwetu! Bwana Isihaka na mkewe ni wanywaji wazuri wa soda na juice juice, wamefyatua warembo mwanzo mwisho,acheni mitazamo ya kijumla jumla bwana!

Mjomba tunajaribu kuwa wadadisi mkuu.
 
Back
Top Bottom