Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kuwapata shida .labda wa mapenziTuwasubiri wataalam wa afya
Mbona wanaotoa mimba wengi wanapata hizo complicationsakili yako imejijengea dhana hizo bila uchunguzi. mbaya na majibu ukajipa.
sijui unaulizia nini wakati umeshajitengenezea jibu kutokana na mawazo yako.
hata ahe dkt akupe elimu kwa conxlusion yako hii hutoelewa.
kutia mimba sio kufel figo.
kutoa mimba kupo kivyake na kufeli figo kupo kivyake.
OkNADHANI hutokana na sumu inayokuwa imemdhuru kwa wakati ule kwasababu mimba nyingi hutolewa kwa njia ya Induced Abortion kwahiyo kutokana na overdose huathiri figo na ini labda hizi ndio huweza kupelekea chronic progression ambayo baadae huwaletea failures
Hatari Sanasababu za haraka haraka.
1. Hao walikuwa na matatizo ya figo tangu zamani, ni vile tu mwili haukuwa stressed before ndio maana hawakuwa na dalili.
2. Utoaji mimba usio salama(septic abortion), ilipelekea maambukizi(infections)
3. Kupoteza damu nyingi. kiasi cha damu kinachozunguka kwenye kwenye mishipa (circulatory volume) kikipungua sana ghafla, figo ndio za kwanza kuanza kuathitirika, baada ya hapo inafuata moyo na ini.
Sent using Jamii Forums mobile app