Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Leo nimemkumbuka classmate wangu tukiwa first year akapata mimba akatoa sijui ilitokea nini aliumwa sana figo zikafeli, RIP my dear.
Wa pili huyu tulimaliza chuo vizuri akapata na kazi miezi miwili tu job kumbe alitoa mimba nae figo zikafeli na ini. RIP.
Wa tatu huyu nae tulishakaa mtaani alikuwa na maisha mazuri tu, miaka 33 nae sijui alikuwa hamjui muhusika akaona isiwe kesi, figo nae zikafeli. RIP.
Naombeni kuuliza kuna connection gani ya mimba na figo?