huo ndo ukweliHapo red na brown ndipo mnapojichanganya.
Udhaifu wa Kinga MWIlini hauambizwi .
Hapo kijani ukimwi dawa yake ni lishe bora, maji safi yakunywa, hewa safi.
Wapo watu wachache sana ambao wanaishi/ wamesha kutana kimwili na watu wenye maambukizi lkn hawakupata. Hy hata wanasayansi hawana majibu ila kumbuka mazingira yakisha kuchagua upate basi hata ukivaa condom basi utaupata hata ufany nini ila ni vzr na ni njm kuvaa kinga kuchukua tahadhariMr. MTUI Thanx Kwa Maji Mazuri!! Ila Ningependa Kujua! Je Wote Wanaopata Ukimwi Walikumbana Na Michubuko? Pili Kama Virus Vipo Kwenye Majimaji Pia! Inakuaje mtu Anaish na mpenz mweny HIV na Hapat Ngoma wakat Hawatumii Condom!? Na hata Wakitumia Yale Majimaj kutoka Kwa Mwanamke Yanatoka Na Kuchurudhika Kweny korodan!! Inakuaje hapa
Huo ndio ukweli, majimaji yatokanayo na michubuko ndio yanayobeba virusi ila c majimaji yaliyopo ukeni km lubricantsaaah wapi,si kweli
Umejitahidi kuwafafanulia kwa kweli ila mi ni kiboko ya matatizoMi navyofahamu virusi Vya ukimwi hushambulia zaidi kinga ya mwili au white blood cells ...kwahyo kokote kwenye cell nyeupe za damu tegemea uwepo wa virusi Vya damu....
Kutokana na preamble hapo juu its obvious kwamba viruasi Vya ukimwi vitapatikana kwenye majimaji yanayozilinda mbegu za kiume au semen...na hata kwenye majimaji ya uke kwani maji maji hayo humkinga mwanamke asipate maambukizi au kwa lugha ingine yanacell hai za kuulinda mwili...kwenye damu pia lazima kuwe na vurusi kwani damu ni muunganiko wa cell nyekundu, nyeupe n.k....
Mtu anapokuwa na michubuko kwenye sehemu za siri ni rahisi kupata maambukizi kutokana na sababu nilizozitaja na siyo lazima kuwepo na damu....
Kwani majimaji yanayitoka sehemu za siri yana cell kinga za mwili ambazo zinaweza kuwa zimeambatana na virusi....
Kutokana na hlo kama humuamini mtu wako ni vyema kupunguza madoido ambayo yanaweza sababusha michubuko kama kusuck naniliu....au kuzisugua sugua sehemu za siri n.k
Kutokana na hilo ndiyo maana kunaugunduzi wa condom mpya ambazo mtu anavaa kama boxer ili kuweza kupunguza chances za maambukizi
Iwapo mtu Mwenye AIDs atafikia critical level kunauwezekano pia wa virusi kupatikana ata kwenye mate, jasho na hata kwenye machozi pia...so umakini ndo HABARI ya mjini
Sio majimaji yaliyopo ukeni ambayo huneba virus, ila ni majimaji yatokanayo na misuguano na kusababisha michubuko na majimaji ya ndani ya mwli ku contact na michubuko ya asiye na virus, na laiti ingekua ni majimaji yyt basi hata mate yangeambukizayanavyo kwa mjibu wa wataalamu
We ni tiba asili niniHakuna daktari aliyewahi kuthibitisha kumuona HIV ..
Ila ukimwi au upungufu wa kinga mwilini
Upo na unapona
Mkuu no research no right to speakWe ni tiba asili nini
Ni vizuri kujifariji kwa maneno kama hayo...Hakuna anayeweza kuthibitisha. ...uwepo wa kirusi kiitwacho HIV
Mkuu kwann usitoe ushahidi nami nitoe ?? Maana hata mgunduzi wa kile kipimo chenu cha HIV amekiri kwa mdomo wakke hajawahi kumuona HIV ktk damu ya mtu...Ni vizuri kujifariji kwa maneno kama hayo...
Hujawahi sikia wanasema kirusi kinabadilika maumbile..sasa unawezaje kusema kirusi kinabadilika maumbile bila kukiona?Ni kweli kirusi cha Hiv hakijawahi kuonekana, madaktari wanaona tu reaction zinazowafanya waamini kwamba una Hiv ndio maana majibu huwa ni Reactive +ve na Non Reactive - ve. Ni kama vile ukiona moshi basi unasema hapo pana moto. Lakini swala la kuwepo ukimwi hiyo wote wanakubali. Hivyo challenge ambayo hata mimi naendelea kupekua nipate jibu ni hicho chanzo sasa cha ukimwi (kupungua kwa kinga mwilini)
Ulisikia wapi ? Au ndio mambo ya vijiweni? Acha mambo ya kusikia leta ushahidiHujawahi sikia wanasema kirusi kinabadilika maumbile..sasa unawezaje kusema kirusi kinabadilika maumbile bila kukiona?