Nini ukweli juu ya kuenea kwa Ukimwi?

Nini ukweli juu ya kuenea kwa Ukimwi?

Mleta pekua humu jukwaani utakuta nyuzi nyingi zimezungumzia HIV na AIDS(VVU na UKIMWI).
Usisahau na link mbali mbali ulizopewa kuzipitia kwa ufasaha.
 
Mr. MTUI Thanx Kwa Maji Mazuri!! Ila Ningependa Kujua! Je Wote Wanaopata Ukimwi Walikumbana Na Michubuko? Pili Kama Virus Vipo Kwenye Majimaji Pia! Inakuaje mtu Anaish na mpenz mweny HIV na Hapat Ngoma wakat Hawatumii Condom!? Na hata Wakitumia Yale Majimaj kutoka Kwa Mwanamke Yanatoka Na Kuchurudhika Kweny korodan!! Inakuaje hapa
Wapo watu wachache sana ambao wanaishi/ wamesha kutana kimwili na watu wenye maambukizi lkn hawakupata. Hy hata wanasayansi hawana majibu ila kumbuka mazingira yakisha kuchagua upate basi hata ukivaa condom basi utaupata hata ufany nini ila ni vzr na ni njm kuvaa kinga kuchukua tahadhari
 
Mi navyofahamu virusi Vya ukimwi hushambulia zaidi kinga ya mwili au white blood cells ...kwahyo kokote kwenye cell nyeupe za damu tegemea uwepo wa virusi Vya damu....
Kutokana na preamble hapo juu its obvious kwamba viruasi Vya ukimwi vitapatikana kwenye majimaji yanayozilinda mbegu za kiume au semen...na hata kwenye majimaji ya uke kwani maji maji hayo humkinga mwanamke asipate maambukizi au kwa lugha ingine yanacell hai za kuulinda mwili...kwenye damu pia lazima kuwe na vurusi kwani damu ni muunganiko wa cell nyekundu, nyeupe n.k....
Mtu anapokuwa na michubuko kwenye sehemu za siri ni rahisi kupata maambukizi kutokana na sababu nilizozitaja na siyo lazima kuwepo na damu....
Kwani majimaji yanayitoka sehemu za siri yana cell kinga za mwili ambazo zinaweza kuwa zimeambatana na virusi....
Kutokana na hlo kama humuamini mtu wako ni vyema kupunguza madoido ambayo yanaweza sababusha michubuko kama kusuck naniliu....au kuzisugua sugua sehemu za siri n.k
Kutokana na hilo ndiyo maana kunaugunduzi wa condom mpya ambazo mtu anavaa kama boxer ili kuweza kupunguza chances za maambukizi
Iwapo mtu Mwenye AIDs atafikia critical level kunauwezekano pia wa virusi kupatikana ata kwenye mate, jasho na hata kwenye machozi pia...so umakini ndo HABARI ya mjini
Umejitahidi kuwafafanulia kwa kweli ila mi ni kiboko ya matatizo
 
yanavyo kwa mjibu wa wataalamu
Sio majimaji yaliyopo ukeni ambayo huneba virus, ila ni majimaji yatokanayo na misuguano na kusababisha michubuko na majimaji ya ndani ya mwli ku contact na michubuko ya asiye na virus, na laiti ingekua ni majimaji yyt basi hata mate yangeambukiza
 
WATAALAMU WANASEMA KUNAWA KWA SABUNI YA UNGA QUICK AFTER MTANANGE AU MGEGEDO KUNAPUNGUZA CHANCE YA VIRUSI KUINGIA MWILINI...CHUKUA HYO NA UIFANYIE KAZI
 
Hakuna daktari aliyewahi kuthibitisha kumuona HIV ..

Ila ukimwi au upungufu wa kinga mwilini

Upo na unapona
 
Ni vizuri kujifariji kwa maneno kama hayo...
Mkuu kwann usitoe ushahidi nami nitoe ?? Maana hata mgunduzi wa kile kipimo chenu cha HIV amekiri kwa mdomo wakke hajawahi kumuona HIV ktk damu ya mtu...

Na hakuna daktari duniani aliyewahi kukiona kirusi cha HIV kwa njia yoyote ile.

Uliza ,tafiti ...
 
Ni kweli kirusi cha Hiv hakijawahi kuonekana, madaktari wanaona tu reaction zinazowafanya waamini kwamba una Hiv ndio maana majibu huwa ni Reactive +ve na Non Reactive - ve. Ni kama vile ukiona moshi basi unasema hapo pana moto. Lakini swala la kuwepo ukimwi hiyo wote wanakubali. Hivyo challenge ambayo hata mimi naendelea kupekua nipate jibu ni hicho chanzo sasa cha ukimwi (kupungua kwa kinga mwilini)
 
Chanzo ni magonjwa halis kutokana na

Madawa ya kulevya

Lishe duni

Magonjwa ya zinaa

N.k
 
Ni kweli kirusi cha Hiv hakijawahi kuonekana, madaktari wanaona tu reaction zinazowafanya waamini kwamba una Hiv ndio maana majibu huwa ni Reactive +ve na Non Reactive - ve. Ni kama vile ukiona moshi basi unasema hapo pana moto. Lakini swala la kuwepo ukimwi hiyo wote wanakubali. Hivyo challenge ambayo hata mimi naendelea kupekua nipate jibu ni hicho chanzo sasa cha ukimwi (kupungua kwa kinga mwilini)
Hujawahi sikia wanasema kirusi kinabadilika maumbile..sasa unawezaje kusema kirusi kinabadilika maumbile bila kukiona?
 
Hujawahi sikia wanasema kirusi kinabadilika maumbile..sasa unawezaje kusema kirusi kinabadilika maumbile bila kukiona?
Ulisikia wapi ? Au ndio mambo ya vijiweni? Acha mambo ya kusikia leta ushahidi
 
Back
Top Bottom