Nini ukweli juu ya kuenea kwa Ukimwi?

Mkuu kama hakuna aliyewahi kumuona kirusi inakuaje mtu mwenye HIV akipimwa wanajua ana HIV ?ina maana huwa wanaona huyo kirusi!wasingekua wanamuona wasingegundua kuwa huyu ana kirusi na huyu hana
 
Mkuu kama hakuna aliyewahi kumuona kirusi inakuaje mtu mwenye HIV akipimwa wanajua ana HIV ?ina maana huwa wanaona huyo kirusi!wasingekua wanamuona wasingegundua kuwa huyu ana kirusi na huyu hana
Wanachokiona ni some antibodies tu ...ndio wanakwambia una h+ au h-....
 
-Unamjua Prof.Peter Duesberg?
Mfuatilie huyu profesa halafu niambie
kama naye ni chizi au la.
-Unamjua Prof.Kary Mullis?Huyu ndiye
aliyegundua PCR,kile kipimo ambacho
kinategemewa kupima huyo HIV
feki.Kary Mullis naye anapinga
nadharia hii,wewe hujiulizi?Mfuatilie
na huyu pia.Pia fahamu kwamba Kary
Mullis hakugundua PCR mahsusi kwa
ajili ya kupimia HIV, la hasha,maana
kama sikukuambia hivi unaweza
kuuliza maswali mengi hapa kama
vile "sasa kwa nini anapinga wakati
yeye ndiye kagundua kipimo cha
HIV?",najua utaanza kuuliza maswali
kama haya.
-Pia Prof Luc Montagnier,mgunduzi wa
huyo HIV(feki) anasema hajawahi
kumuona HIV,he he heee,najua wewe
hujui hili na najua pia hii
itakushangaza sana.Luc alisema kwa
mdomo wake kwamba hajawahi
kumuona HIV kwenye damu ya
mtu.Sasa kama hajawahi kumuona
HIV,amejuaje kama HIV ndiye
anasababisha AIDS na
anasababishaje AIDS?Hivi vitu
vinahitaji utulie sana.
Wapo wanasayansi lukuki wanaopinga
hii nadharia,wewe hujui tu.Pia usifikiri
kupinga nadharia hii hadharani ni
rahisi kama unavyofikiri
kirahisirahisi,kuna wanasayansi
(madaktari) walishauawa kwasababu
ya kufanya kampeni ya kupinga
nadharia hii,unamjua Robert Willner
wewe?Hebu mfuatilie huyu daktari
ambaye alithibitisha kwa kujidunga
damu ya mtu anayetumia ARVs(yaani
ambaye watu wanajua ana
HIV),alijidunga damu ya namna hii
mara nyingi tu lakini kila akipima
alipata majibu ya HIV-,wewe humjui
huyu Dr,narudia,huyu ni Dr,yaani
MD,sio kilaza,yaani anajua nondo za
udaktari.Sasa mfuatilie huyu pia.
 
Ni vizuri kujifariji kwa maneno kama hayo...
-Unamjua Prof.Peter Duesberg?
Mfuatilie huyu profesa halafu niambie
kama naye ni chizi au la.
-Unamjua Prof.Kary Mullis?Huyu ndiye
aliyegundua PCR,kile kipimo ambacho
kinategemewa kupima huyo HIV
feki.Kary Mullis naye anapinga
nadharia hii,wewe hujiulizi?Mfuatilie
na huyu pia.Pia fahamu kwamba Kary
Mullis hakugundua PCR mahsusi kwa
ajili ya kupimia HIV, la hasha,maana
kama sikukuambia hivi unaweza
kuuliza maswali mengi hapa kama
vile "sasa kwa nini anapinga wakati
yeye ndiye kagundua kipimo cha
HIV?",najua utaanza kuuliza maswali
kama haya.
-Pia Prof Luc Montagnier,mgunduzi wa
huyo HIV(feki) anasema hajawahi
kumuona HIV,he he heee,najua wewe
hujui hili na najua pia hii
itakushangaza sana.Luc alisema kwa
mdomo wake kwamba hajawahi
kumuona HIV kwenye damu ya
mtu.Sasa kama hajawahi kumuona
HIV,amejuaje kama HIV ndiye
anasababisha AIDS na
anasababishaje AIDS?Hivi vitu
vinahitaji utulie sana.
Wapo wanasayansi lukuki wanaopinga
hii nadharia,wewe hujui tu.Pia usifikiri
kupinga nadharia hii hadharani ni
rahisi kama unavyofikiri
kirahisirahisi,kuna wanasayansi
(madaktari) walishauawa kwasababu
ya kufanya kampeni ya kupinga
nadharia hii,unamjua Robert Willner
wewe?Hebu mfuatilie huyu daktari
ambaye alithibitisha kwa kujidunga
damu ya mtu anayetumia ARVs(yaani
ambaye watu wanajua ana
HIV),alijidunga damu ya namna hii
mara nyingi tu lakini kila akipima
alipata majibu ya HIV-,wewe humjui
huyu Dr,narudia,huyu ni Dr,yaani
MD,sio kilaza,yaani anajua nondo za
udaktari.Sasa mfuatilie huyu pia.
 
Denialism Community
inaeleza kwamba baadhi ya sababu
zinazosababisha Ukimwi ni;

1. MALNUTRITION. Lishe duni including
kukosa safe & clean water, etc.
Katika hili, ndo maana AIDS rates
zipo juu sana huku kwetu Africa, in
particular Sub-Saharan Africa coz nchi
hizi most of people are living in
'extreme' poverty! Kuna some
families zinabahatisha mlo mmoja tu
kwa siku.
2. PROLONGED USE OF DRUGS i.e.
ANTIBIOTICS, RECREATIONAL DRUGS
(POPPERS FOR HOMOSEXUALS),
COCAINE, EXCESSIVE USE OF ALCOHOL,
etc. Ukweli kutoka 'site'... we
mwenyewe nadhani huwa unaona jinsi
mateja (watumia dawa za kulevya)
wanalivyodhoofika afya.
3. RADIATIONS and CHEMOTHERAPY
for cancer patients. Ndo maana
wagonjwa wengi wa cancer wanaopata
tiba hii hudhoofika zaidi mfano
kunyonyoka nywele, n.k
4. STRESS. Hili liko wazi, msongo wa
mawazo ambao ni excessive na muda
mrefu lazima mtu ukonde!
5. REPETITIVE INFECTIONS. Kupata
maambukizo mbali mbali mara kwa
mara. Mfano unapata typhoid kila
miezi mitatu, au unaugua malaria kila
mwezi, au unapata kaswende mara
kwa mara, etc. Infections zenyewe tu
pekee husababisha kinga kushuka. Na
zikiwa repetitive inamaana kwamba
utakuwa mtu wa kunywa madawa kila
mara, na hayo madawa (drugs) nayo
pia ni masumu yanayodamage
immune system.
6. ARVs. Inasemekana (ofcourse mimi
pia hii nimeishuhudia kwa wagonjwa
wengi tu) kuwa matumizi ya ARVs ya
muda mrefu huleta madhara.
Wataalamu hao wanasema kuwa
watu wanaotumia ARVs ambao
wamefikia hatua za mwisho hupata
matatizo yafuatayo;
(a) Matatizo ya moyo. Utasikia tu
wakisema aah mgonjwa kafa kwa
'heart attack', au 'moyo ulipasuka' etc
(b) Matatizo ya Ini. Utasikia tu
wakisema mgonjwa kafariki baada ya
Ini kuwa na hitilafu, etc
(c) Matatizo ya Figo. Utasikia tu
wakisema marehemu figo zake zilifeli,
n.k
(d) Cancer/saratani yoyote ile. Kina
mama mara nyingi hupata saratani
ya kizazi. Kinamama wengi
wanaotumia ARVs husumbuliwa na
cancer hiyo ya kizazi.
(e) Anaemia/upungufu wa damu.
Inasemekana kwamba wagonjwa
wengi wanaotumia ARVs huongezewa
damu mara kwa mara.
(f) Kisukari/Diabetes, mara chache.
N.B: We mwenyewe jaribu tu ku-
research (yani google tu) on the 'side
effects' of ARVs Drugs afu ujionee
mwenyewe. ARVs zina 'severe/fatal'
side effects !
PILI:
Kuhusu ANTIBODIES, yes HIV/AIDS
supporters hiyo ndo 'basement' yao
kuu. Yaani 'antibodies' ndo
benchmark yao pekee. Wanacheck tu
uwepo wa Antibodies fulani mwilini na
kisha wana-confirm uwepo wa HIV
mwilini. Eti wanaiita 'qualitative'
method, and not quantitative! Sasa
swali la kufikirisha huwa ni: JE, why
walishindwa kumpima huyo HIV kwa
muonekano/isolation (quantitatively)
kabsa kama ilivyo kwenye Malaria,
TB, Typhoid, n.k ????!!! Katika swali
hili huwa wanatoa jibu rahisi tu
kwamba... '' huyo kirusi (HIV) ni
'mjanja mjanja' sana, so it is never
easy kumuona ''! heheheee.
This is why the denialists wanasema
hivi vipimo vyote vya HIV/AIDS ni
sawa na 'ramli' tu. Truly, huko 'site'
kuna cases nyingi sana tu za FALSE
POSITIVE, yani leo mtu anapima
anakutwa ni HIV POSITIVE, afu
surprisingly baadae akipima tena
anakutwa ni NEGATIVE!!
NOTE: Medical experts (including hao
hao HIV/AIDS Supporters) wanakiri
kabisa kuwa kuna factors zingine
(apart from HIV) ambazo pia zinaweza
kusababisha mwili ku-release hizo
'antibodies' husika. Factors hizo ni
pamoja na Mimba, Malaria kali, etc.
Kwakweli hili dubwasha 'HIV/AIDS' lina
uncertainties nyingi mno which draw a
wider controversy kuliko tunavyodhani
au kuaminishwa. Kuna utata mwingi
sana ambao kwakweli unafikirisha
akili ya mtu yeyote mwenye udadisi.
Really, with free mind, we have to
double-click our folders of thinking on
this 'deadly nightmare'.
 
Hizi analetaga deception apate watu wa kuwapeleka kwenye clinic yake
 
There's nothing called "HIV" na hata AIDS yenyewe huwapata watu wengi kwa muda fulani tu na kuondoka wengine hudumu na AIDS hadi wanakufa...yote yote mi kuch kuch siachi tena nyama kwa nyama unless nimeforesee Risk kubwa
Umeiva aiseee
 
Ulisikia wapi ? Au ndio mambo ya vijiweni? Acha mambo ya kusikia leta ushahidi
Elusive HIV Shape Change Revealed; Key Clue To How Virus Infects Cells
Date:
March 7, 2005
Source:
Children's Hospital Boston
Summary:
Structural biologists at Children's Hospital Boston and Harvard Medical School have shown how a key part of the human immunodeficiency virus (HIV) changes shape, triggering other changes that allow the AIDS virus to enter and infect cells. Their findings, published in the Feb. 24 issue of the journal Nature, offer clues that will help guide vaccine and treatment approaches.
Share:
FULL STORY

Structural biologists at Children's Hospital Boston and Harvard Medical School have shown how a key part of the human immunodeficiency virus (HIV) changes shape, triggering other changes that allow the AIDS virus to enter and infect cells. Their findings, published in the Feb. 24 issue of the journal Nature, offer clues that will help guide vaccine and treatment approaches.

Researchers led by Howard Hughes Medical Institute Investigator Stephen Harrison, PhD, and Bing Chen, PhD, focused on the gp120 protein, part of HIV's outer membrane, or envelope. gp120's job is to recognize and bind to the so-called CD4 receptor on the surface of the cell HIV wants to infect. Once it binds, gp120 undergoes a shape change, which signals a companion protein, gp41, to begin a set of actions that enable HIV's membrane to fuse with the target cell's membrane. This fusion of membranes allows HIV to enter the cell and begin replicating.

The structure of gp120 after it binds to the CD4 receptor and changes its shape was solved several years ago by another group. Harrison and Chen have now described gp120's structure before the shape change, yielding vital before-and-after information on how the molecule rearranges itself when it encounters the CD4 receptor.

''Knowing how gp120 changes shape is a new route to inhibiting HIV - by using compounds that inhibit the shape change,'' says Harrison. He notes that some HIV inhibitors already in development seem to inhibit the shape change; the new findings may help pin down how these compounds work and hasten their development into drugs. ''The findings also will help us understand why it's so hard to make an HIV vaccine, and will help us start strategizing about new approaches to vaccine development.''

The studies, performed in the Children's Hospital Boston Laboratory of Molecular Medicine, used the closely related simian immunodeficiency virus (SIV) as a stand-in for HIV. By aiming an X-ray beam through a crystallized form of gp120, they obtained the first high-resolution three-dimensional images of the protein in its unbound form. They surmounted considerable technical challenges, including difficulty in getting gp120 to form good crystals.

''Without very well-ordered crystals you get a very blurry picture,'' explains Harrison. ''It took a very long time, and lots of computational work, to get that picture to sharpen up enough to get an answer.''

One of the lab's first steps will be to determine which shape of gp120 - bound to the CD4 receptor, or unbound - is recognized by a person's antibodies. gp120's shape change is an important ''escape mechanism'' for HIV, allowing the virus to bind to and enter a cell before the immune system can ''see'' it, notes Harrison.

''We can now compare the bound and unbound forms and try to understand whether there are any immunologic properties that differ and that might provide a route to new vaccine or drug strategies,'' Harrison says.

NAFIKIRI HICHO NI KIJIWE TOSHA
 


Kwanza tuanzie kwenye Title ya uzi huu. ''Kuenea kwa UKIMWI'' ??!!

1. UKIMWI hauenezwi wala kuambukizwa kwa njia yoyote ile. Ukimwi sio ugonjwa! Ukimwi ni hali ya kinga ya asili (immune system) mwilini kushuka/kupungua. Ndo maana inaitwa 'Upungufu wa Kinga Mwilini' (Immunodeficiency), yaani kinga ya mtu husika inapungua/inashuka. Hali hii inapotokea mwilini (yaani Ukimwi), ndipo maambukizi (infections) mbali mbali yanaingia mwilini kirahisi na kuanza kushambulia coz kinga inakuwa imepungua, kisha sasa mtu anaanza kuugua/kuumwa magonjwa hayo yaliyoingia mwilini na kuanza kudhoofika, na magonjwa ni yale yale yanayofahamika tangu zamani enzi na enzi mfano Kuharisha, Malaria, TB, Mapele, Typhoid, n.k. Hivyo basi, Ukimwi sio ugonjwa! na wala hauenezwi kwa njia yoyote ile.

Kila mtu hupata UKIMWI (yaani kinga kupungua) katika nyakati tofauti tofauti za maisha yake. Ndo maana karibia watu wote duniani (hasa Africa), from time to time, huwa tunaugua magonjwa hayo hayo ya tangu zamani. Mfano mara nyingi tu watu tunaugua Maralia, Typhoid, TB, Mapele, Kuharisha, n.k. na tunapona kabsa kwa tiba/dawa mbali mbali zilizopo. Pia note kwamba mtu anaweza kuwa ana Ukimwi na asiugue ugonjwa wowote, kuugua inategemea na exposure to the infection.

2. Sasa ni mambo gani hasa yanayosababisha UKIMWI (immunodeficiency) ??
Hakika hili ndo huwa ni swali la msingi sana! Kuna threads nyingi sana humu zimefafanua vizuri na kutoa majibu ya kina juu ya swali hili. Jaribu kupekua humu humu JF na utaona mijadala mingi tu kuhusu hoja hii.

3. Endapo Title ya uzi huu ingekuwa hivi: ''Nini ukweli juu ya kuenea kwa Virusi Vya Ukimwi (V.V.U / H.I.V)'' ?
Tungeweza kujadili vizuri sana na kwa mapana. Hata hivyo, hoja hii pia ilishajadiliwa sana kwenye threads mbali mbali humu JF.

4. Kwa vile Title ya uzi huu ni hivi: ''Nini ukweli juu ya kuenea kwa Ukimwi''?
Mchango wangu ni kwamba... Ukimwi upo kweli na hutokea ndani ya mwili wa binadamu yeyote yule, lakini HAUNEZWI/HAUAMBUKIZWI from one person to another kwa njia yoyote ile na wala SIO ugonjwa !!

N.B: Kwa kukurahisishia zaidi, ebu zipitie kwa umakini (top to bottom) nyuzi zifuatazo, surely utapata nondo za kutosha from these threads:

Ukimwi: Mbeki atuhumiwa kupotosha umma
V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)
Inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mkuu zitafute hizo threads tatu (kama link haifunguki, basi zigoogle ili kuzipata kwa urahisi). Jitahidi usizome zote. Watu wameshajadili sana haya mambo humu.


- Kaveli -
 
Hili ndilo jibu sahihi. lakini inahitajika ufanyike utafiti zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…