Ni vizuri kujifariji kwa maneno kama hayo...
-Unamjua Prof.Peter Duesberg?
Mfuatilie huyu profesa halafu niambie
kama naye ni chizi au la.
-Unamjua Prof.Kary Mullis?Huyu ndiye
aliyegundua PCR,kile kipimo ambacho
kinategemewa kupima huyo HIV
feki.Kary Mullis naye anapinga
nadharia hii,wewe hujiulizi?Mfuatilie
na huyu pia.Pia fahamu kwamba Kary
Mullis hakugundua PCR mahsusi kwa
ajili ya kupimia HIV, la hasha,maana
kama sikukuambia hivi unaweza
kuuliza maswali mengi hapa kama
vile "sasa kwa nini anapinga wakati
yeye ndiye kagundua kipimo cha
HIV?",najua utaanza kuuliza maswali
kama haya.
-Pia Prof Luc Montagnier,mgunduzi wa
huyo HIV(feki) anasema hajawahi
kumuona HIV,he he heee,najua wewe
hujui hili na najua pia hii
itakushangaza sana.Luc alisema kwa
mdomo wake kwamba hajawahi
kumuona HIV kwenye damu ya
mtu.Sasa kama hajawahi kumuona
HIV,amejuaje kama HIV ndiye
anasababisha AIDS na
anasababishaje AIDS?Hivi vitu
vinahitaji utulie sana.
Wapo wanasayansi lukuki wanaopinga
hii nadharia,wewe hujui tu.Pia usifikiri
kupinga nadharia hii hadharani ni
rahisi kama unavyofikiri
kirahisirahisi,kuna wanasayansi
(madaktari) walishauawa kwasababu
ya kufanya kampeni ya kupinga
nadharia hii,unamjua Robert Willner
wewe?Hebu mfuatilie huyu daktari
ambaye alithibitisha kwa kujidunga
damu ya mtu anayetumia ARVs(yaani
ambaye watu wanajua ana
HIV),alijidunga damu ya namna hii
mara nyingi tu lakini kila akipima
alipata majibu ya HIV-,wewe humjui
huyu Dr,narudia,huyu ni Dr,yaani
MD,sio kilaza,yaani anajua nondo za
udaktari.Sasa mfuatilie huyu pia.