Nini Umuhimu wa Tuzo za MTV-MAMA

srinavas

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,195
Reaction score
4,013
Habarini ndugu zangu.

Leo ningependa tu kujua kuwa ni nini haswa umuhimu wa hzi tuzo zinazotolewa?

Je , baada ya kupewa tuzo huwa unapewa na pesa kidogo?

Je, nauli ya kwenda huko marekani kuchukua tuzo huwa wasanii wanapewa na nani?? Pesa ya kukaa huko je , malazi na chakula. Ni nani anagharamia?

Je mbona sielewi. Mara juzi kapewa dianond na harmonoze tuzo , leo tena tunaambiwa tupige kura , kwani hizi tuzo huwa zinatolewa mara ngapi??

Na mwisho kabisa , mbna naona ni vichekesho sana kwa baadhi ya watu kupewa tuzo au kugombania tuzo. Sasa mtu kama dj d ommy ndio nani? Je huyo harmonoze, rayvany , yaani kwa ufupi nakuwa sielewi na najionea mapicha picha tu..


Naombeni msaada wa kunielewesha tafadhali. Maana mm ni kama sielewi haya mambo yanavyoenda..

Thanks in advance.
 
Mi ninachojua kila tunzo ni pesa tena refu. Ata kama ni TZ
 
Mahela hayo wewe mzee,tena mamilioni siyo Mahela ya kibongo,na heshima ya kuwa jamii inatambua uwepo wako katika jamii,MAHELA MEEEEEENGI.
 
Mtv tunzo moja nikama pesa za kibongo 150 million ivi..hizo nyingine cjui kwakwel
 
angechukua jirani yetu tusingeona thread za umbea umbea kama hizi.
 
ay amewahi kupewa Tuzo gani nje?
halafu inaonekana kamjibu kikejeli.

kama mtu akiuliza tandale kuna maji machafu..
unamwambia hapana
Noo, jamaa alipojibiwa hivyo kuna myu akabisha, AY akamwambia alete ushahidi, jamaa akapotea...cheki TL ya AY kama upo twitter....sijui kama aliwahi kushinda tuzo but sidhani pia kama anaweza kuongea in public vile kwa jambo asilolijua....Labda wanaosema kuna pesa wangetupa ushahidi
 
pamoja sijui ila nahisi pesa ipo japo sijahakikishiwa..
huwezi kumtoa msanii kumpeleka mahala bila pesa
 
We mziki umeanza kuujua juzi aliyeanza kutoka nje ya boda ni ay na alianza na tuzo ya chanel o
sijaujua juzi kaka usini judge..
kipindi anatoka hakua na ile amsha amsha ya kutosha nadhani..
kuhusu tuzo tumezijua sana baada ya Mitandao ya kijamii ,na ku pay attention..
ila mziki kibongo bongo kitambo nahisi enzi ya kina zeze[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Hya dada hongera
 
Hakunaga Tuzo isiyo na pesa,ila zinatofautiana thamani kulingana na mfuko wa muandaaji au wadhamini waliojitokeza. Na wanawagaramia kila kitu kwenye kuhudhuria kwao kuanzia tiketi za kwenda na kurudi + garama za kuwepo kule na posho ya kujikimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…